Posts

Top Tanzania Hot Ladies

Image
1.nancy   2.Belina Mgeni 3.jacline cliff patrick 4.Richa Adhia

Hawa Ndio Wasanii Wataalam wa Picha za Utupu Bongo

Image
NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Kibongobongo sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Licha ya kubanwa na sheria pamoja na maadili, wapo wasanii ambao kwa nyakati tofauti walijikuta katika adha ya kupigwa kama si kujipiga picha za utupu kisha zikazagaa mitaani. Wapo waliotajwa kupiga picha hizo kwa kusaka umaarufu, waliopigwa na wapenzi wao kisha wakazivujisha lakini wengine imedaiwa kuwa wamezivujisha wenyewe na kusingizia zimevujishwa na wapenzi wao. Ifuatayo ni orodha ya wasanii mbalimbali Bongo ambao waliwahi kukwaa skendo ya picha za utupu: Wema Sepetu: Mwaka 2010 picha yake ya utupu ilizagaa mtandaoni huku ikidaiwa kuwa chanzo cha kusambaa kwake ni boifrendi wake ambaye alimpiga na kuzisambaza. Kama hiyo haitoshi, mwaka huu mrembo huyo alidaiwa kuposti picha zake nyingine za utupu katika mtandao wa Instagram. Diana Hussein: Huyu  ni Miss Dar Indian Ocean ambaye pia ni Miss Kinondoni namba 2 mwaka jana, mrembo huyo hivi karibuni ame...

PENZI TAMU[VI]

“Mama Grace, tangu nikuone wewe kule Karatu sijaona mwanamke mwingine” Alisema kwa sauti ya kumhakikishia. “sijatamani wala sijaota kutamani mwanamke mwingine. Wote ninaowaona nikiwalinganisha na wewe, nitaendelea kukuchagua wewe hadi kaburini” Alisema huku macho yake yakilengwa na machozi. Suma alijikuta anatokwa na machozi tena, ingawa safari hii yalikuwa ni ya huba na furaha. Alimuuliza Mungu ilikuwaje astahili mwanamme namna hiyo. Suma aliinuka kitandani, na kabla hajasimama vizuri kanga yake iliyokuwa bado imemning’inia mwilini ilidondoka, na kumwacha mtupu kama alivyozaliwa. Mwili wake wenye rangi ya maji ya kunde uliangaza kama mbalamwezi. Sosi alimuangalia mara moja na hamu yake ikamzidia. Alimvuta karibu huku yeye akiwa bado ameketi, alifungua miguu yake na kumsimamisha Suma katikati yake huku mikono yake ikiwa imezunguka makalio ya mviringo wa tufe. Alianza kumbusu tumboni , mapajani, huku vidole vyake vikiendelea kuyaminya minya makalio ya binti huo. Suma alinyanyua mguu wak...

PENZI TAMU[V]

“Wewehh…!”ndicho pekee alichoweza kusema. Akiendelea kurushiana mabusu na mpenzi wake huyo mpya, Suma aliianza kufungua suruali ya kodirai ya rangi ya maziwa aliyokuwa amevaa Sosi, mikono yake iliyobaridi ilijitumbukiza kama kwenye pango la nyoka na kumchomoa nyoka pangoni! Alikuwa ametuna na kuvimba kama chatu aliyekuwa tayari kummeza mtu. Sospeter alijikuta nusura aanguke kwani ubaridi wa mkono wa Suma ulikuwa kama hamira kwenye uanamuwe wake. Mzee alikuwa amefura na kupwita pwita kama chura aliyetoka majini! “Suma, nakupenda” Alijikuta akisema bila hata kujua kweli alimaanisha au alikuwa amezidiwa na mfadhaiko. Suma akitumia kidole chake cha pili alimfunga mdomo na kumwambia “shhhhhh”. Sospeter alijikuta amekuwa na ububu wa ghafla. Kabla hajajua kilichoendelea, Suma allichuchumaa mbele yake, huku akizurusha nywele zake nyuma, kama mtumbuiza nyoka, alilichukua joka hilo, na kuliingiza mdomoni mwake. Kwa ufundi uliokubuhu, alianza kulipa burudani ya mwaka. Suma alifanya ufun...

PENZI TAMU[IV]

“Ungependa kula na mimi na tupige soga zaidi” Aliuliza Sosi kabla Suma hajakimbia. “ah..wenzangu wataningoja” alijibu Suma “Hapana, tunaweza kwenda kijijini na kununua cha hotelini, mie leo sili dona lao” alijibu Sospeter huku moyoni akiombea kwa miungu yake Suma akubali. “We, tutawezaje kutoka kambini si ni kujitakia matatizo? Huoni geti kali?”Aliuliza kabla hajakubali baada ya ushawishi wa Sosi. Sospeter alimhakikishia kuwa hawatagundulika na wakakubaliana wakutane saa moja baadaye kwenye lango kuu la shule. Sospeter alianza kutafuta njia ya kuweza kutoka na kurudi jioni hiyo bila kujiletea matatizo yeye mwenyewe na Suma. Baada ya kuhangaika kufikiri nini cha kufanya aliamua kwenda kwa mzee mmoja wa Kimang’ati aliyekuwa zamu kulinda lango la shule hiyo. Wala hakumchelewesha alimpatia shilingi mia tano na kumuomba chonde chonde amruhusu yeye na Suma waweza kwenda na kurudi kabla ya muda wa kulala ambao ilikuwa ni saa nne kamili za usiku. Mzee wa Kimang’ati kumbe hizo zilikuwa zake. Al...

PENZI TAMU[III]

Dongobesh walikuwa wanacheza mechi ya mwisho dhidi ya timu ya Madunga ambayo ilikuwa ni mpinzani wa jadi. Sospeter kwa kuitikia mwito wa rafiki zake waliokuwa wanamsifia Suma aliamua kwenda kuangalia mechi hiyo, siyo kwa ajili ya kuona nani atashinda bali kuona kama kweli hizo sifa za Suma zilikuwa ni za kweli au ni porojo tu za kwenye Umiseta. Alipofika na kumuona jinsi binti huyo alivyokuwa anapendeza katika mavazi yake ya netiboli ambayo yalimfanya aonekana kama amepotea toka Mbinguni na wanamtafuta, Sosi alijikuta akimkodolea macho dada wa watu utadhani ameona hazina ya mfalme Solomoni. Sosi hakutaka kuangalia kitu kingine chochote na alijikuta anaungana na wadau wengine kushangilia kila Suma alipokuwa akitoa pasi na kudaka mpira. Mara mbili alijikuta anagonganisha macho yake na Suma ambaye na yeye alianza kumwangalia na kila akidaka mpira basi anaweka madoido kidogo kumlingishia Sosi (kama ilikuwa kweli au hayo ni mawazo ya Sosi tu miye sijui). Mechi iliisha kwa timu ya Dongobesh ...

PENZI TAMU[II]

Ilikuwa mwaka 1992 kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo ya Sekondari Tanzania ngazi ya Mkoa ambayo kwa mara ya kwanza yalikuwa yanafanyika kwenye shule ya Sekondari ya Karatu iliyopo pembezoni mwa barabara iendayo mbuga maarufu ya Serengeti nje kidogo tu ya mji wa Karatu. Wakati huo mji wa Karatu ulikuwa bado ni Wilaya ndogo katika mkoa wa Arusha. Shule karibu ishirini za Sekondari kutoka kila kona za mkoa wa Arusha zilikuwa zinawakilishwa kwenye mashindano hayo ambayo hatimaye yangeteua timu ya mkoa ambayo ingewakilisha mkoa wa Arusha katika mashindano ya UMISETA yaliyokuwa yanafanyika baadaye mwaka huo huko Morogoro. Sospeter alikuwa ni golikipa namba moja wa timu ya Soka toka shule ya sekondari ya Singe iliyoko Babati. Sifa zake zilienea kwenye mashindano hayo kwani aliokoa penati tano katika mechi mbalimbali ambazo ziliifanya timu yake kushiriki katika mashindano hayo. Hata hivyo sifa hizo hazikumfanya awe anajipendekeza au kujiona yeye bora zaidi. Nje ya uwanja alikuwa ni kijana ...