Posts

Showing posts with the label mengineyo

Hatua Muhimu Kabla Ya Kufanya Mapenzi

Hatua ya kwanza ni kusameheana: Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo! Hivyo basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza tofauti, ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa mtakuwa mmemalzia tofauti zenu. Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba: Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanya wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza safari yenyewe! Michezo hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao, hivyo ili wapendanao waweze kufika...

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apagawe Kwako

Image
Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya mambo ambayo ukiyazingatia yatakufanya wewe uwe na mnato kwa mwanamke yeyote yule. 1. Uwezo wako wa nishati Nishati inaweza kuwa na mkusanyiko wa vitu kadhaa, kama vile kuhisi kwa vipepeo ndani ya tumbo, kusuka, wasiwasi ama vitu tofauti kabisa. Kwa mtizamo wa moja kwa moja, nishati inahusiana na yote yale ambayo yanamfanya mwanamke kujiskia raha wakati anapokuona ama kutaka kuutumia muda wake mwingi akiwa na wewe. Nishati inacheza nafasi kubwa katika mapenzi kama wataka kumtongoza mwanamke na ufaulu kwa urahisi. Ili kupeana nishati zaidi kila wakati unapokuwa na mwanamke, hakikisha kile kikuu unachohitaji kufanya ni kumchekesha, kumsapraiz, umguse kwa bahati mbaya mara kwa mara, kuwa mwenye michezo nk. Zote hizo zitamfanya kukufikir...

She Twitted on her page to publicly show that she is not so much of a wife material.

Image
Toseen  shared a tweet where she said if she is given two thousand naira to cook, she will rather use it to buy shawarma and throw away the values of wife material. She wrote, If you give me #2000 to cook soup, I’ll use it buy Shawarma �. Wife material kill you there

TOP 10 AMAZING PLACES TO SPEND YOUR HOLIDAY THIS DECEMBER TANZANIA

Image
TOP 10 AMAZING PLACES TO SPEND YOUR HOLIDAY THIS DECEMBER TANZANIA Ni nini kinachofanya sehemu iwe nzuri kwa ajili ya Fungate? Kwa kweli inategemea utu na nia ya wachumba. Wengine wanpenda sehemu iliyotulia na kuna wengine wanapenda kukaa mjini na kujifunza historia ya mji. Kwa bahati nzuri, karibia chochote unachokitaka utakipata Tanzania. Kwa kuwa kuna ufukwe vya kutosha, mbuga za wanyama, hoteli za nyota 5 na watu wazuri, ni nchi nzuri ya kuanza maisha mapya na mpenzi wako. Kukuanzisha, pitia orodha yetu ya sehemu kumi za kimapenzi za kutembelea kwa ajili ya fungate Tanzania. Zitafanya wewe na mpenzi wako muendeleze hisia zenu za kimapenzi zaidi na zaidi. 1. Lazy Lagoon Island Lodge, Bagamoyo Lazy Lagoon iko kusini mwa Bagamoyo na ni sehemu nzuri sana kwa wachumba wanaopenda kuwa kwenye fukwe binafsi pamoja na huduma ya kipekee.Bagamoyo inaumbali wa lisaa limoja kutoka Dar es Salaam na inachukua dakika 15 kufika Lazy Lagoon kutoka Bagamoyo mjini. 2. Nungwi, Zanzibar Kama unataka fun...

Imetosha! Nataka kuoa, nimefanya vitu vingi sana - Diamond Platnumz

Image
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amefunguka kuhusu mipango yake ya kuoa na siku atakayoowa. Diamond akihojiwa na  Wasafi TV amesema ana kila sababu ya kuoa kwa sasa kwani ameshafanya mengi kwahiyo anahitaji kutulia kwasasa. "Nimepanga nioe Valentine mwaka huu , valentine itakuwa siku ya Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi mpaka Jumapili, so far iko hivyo ikitokea iko tofauti nitabadilisha, nataka kuoa mwaka huu nina kila sababu ya kuoa, imetosha nimefanya vitu vingi sana, yaani nimefanya vitu vingi yaani doh mambo mengi sana i need to settle down, nahitaji kuoa mwanamke atakayenisaidia kuhandle hivyo vitu ," amesema Diamond.

WAREMBO WAKALI KENYA (Top Ten Sexiest Female Celebrities in Kenya )

Image
Top Ten Sexiest Female Celebrities in Kenya – Brenda Wairimu Brenda Wairimu went to USIU where she pursed a major in International Business Administration and a minor in Broadcast Media. This gifted model is the face of Alcott Kenya a campaign that includes a host of other young Kenyan celebrities. Brenda has acted in Changing Times, one of Kenya’s leading youth entertainment drama shows which has received a Kalasha Award. She has also received a nomination for best supporting actress at this year’s Kalasha Awards. Her young illustrious career is on a high with her new principle role as Lulu in East Africa’s first soap opera (name yet to be revealed). She is to join Juliani, a popular Kenyan gospel artiste in a project dubbed ‘kenyanikwetu’, an initiative aimed at helping youth in the slums. In the near future she hopes to double her volunteer work, and use her position in the media to make a positive difference in people’s lives. Brenda Wairimu Top Ten Sexiest Female Celebrities in Ke...

Sababu 5 Zinazosababisha Uume Kuwa Mdogo (Kibamia)...Soma Hapa Kidume Ufahamu

Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida... Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo . " Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo.... Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k. NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO. 1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu.. Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hat...

Unahitaji Kuoa Mke Malaya Kitandani, Mwanaume Amejaa Tamaa Masaa 24, Acheni Kuoa Vituko Alafu Full Michepuko'

Image
Heri yako wewe unayesaka Mke mwenye TABIA NZURI,mi huo Msako nimeacha siku nyingiii,Kama ni Tabia nitamuazima Tabia zangu tukishaoana..Kisa cha Kujinyima vitu vizuri kisa nasaka MAMA PAROKO?? Wakati wa Kutafuta Mtoto TABIA HAITUMIKI,ni mwendo wa Ashki tu na jinsi ntakavyopagawishwa na kucha zake na amenigusa wapi..Unahitaji kupata Mke "Malaya wa Kitanda" Nikirudi na Stress za kazini niikute hii figa iko ndani ya Bikini tu inanisubiri,anidake aanze "KUTUMA SALAMU KWA HISIA" huku analalamika kwa uongo na kweli...TABIA IKAE MBALI HUKOO Nikialikwa mtoko na washkaji sina haja ya kujiuliza kama niende mwenyewe au lah,Ntamwambia "Mke wangu leo usiku tunatoka Outing,please DRESS TO KILL",na muda wote wa mtoko nitakuwa nimemshika kiuno ili kutuma Meseji kwa kila anayeniangalia kwamba "YES NAFAIDI HILI BUNO BURE DEILE" na hapa TABIA WALA HAIHUSIKI!Kuna watu kila ukiwaalika hawaji na wake zao japo walioa TABIA,kisa MKE HAANGALIKI MARA 2...Mi sitaki hayo mam...

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Akupende zaidi

1.Kuwa gentleman ama mwanamume thabiti Wanawake siku hizi wamekuwa wa kisasa, lakini bado wangependa kuwa na mwanamume ambaye anawafungulia milango, wanawaletea saprize mara kwa mara nakadhalika. Pia wanapenda mwanamume ambaye ni mkarimu na ambaye ni mpole. So kama wewe unatabia za ugentleman, basi una nafasi kubwa ya kumridhisha mwanamke yeyote. Na kama huna hizo tabia basi kazi ni kwako. 2. Kuwa mtu mwenye hisia na mambo ya kwake Kama tulivyotangulia kueleza hapo juu ni kuwa mwanamke anapenda mtu mwenye tabia za kigentleman, so kama wataka kuyeyusha moyo wa mwanamke ni kuhakikisha kuwa unapenda kumfanyia saprize mara kwa mara huku ukimuonyesha ukarimu wako kwake. Hii itasaidia kumfurahisha na kutimiza ndoto zake. Kumfanya kuwa special ni dhahiri kuwa utamfanya akupende zaidi na zaidi. 3. Kuwa na tabia za utu uzima Kulingana na utafiti ni kuwa wanawake wengi hupenda kudate na wanaume ambao ni wakubwa kuwaliko. So kama wewe unajiona unatabia za utuuzima na hauna mambo ya kifala basi bi...

Mwanamke Anachotakiwa Kufanya ili Mume Wake Asitoke Nje ya Ndoa

Image
Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati. Kwa bahati mbaya ukitokea kumzimikia mtu ambaye wala hana hata chembe za penzi kwako, utaumia sana na kama utalazimisha kuwa naye, utakuwa unajitafutia vidonda vya tumbo. Hata hivyo, wapo waliobahatika kuwapata wapenzi wa ukweli lakini kwa kushindwa kwao kujua yapi ya kufanya ili kudumisha penzi, leo hii wameachika na bado wanaranda mtaani. Kwa kifupi ni kwamba, unapoingia kwenye uhusiano na mtu na ukabaini naye anakupenda, hutakiwi kubweteka bali unatakiwa kutumia utundu na ubunifu wako katika yale ambayo yatamfanya huyo mtu wako ahisi wewe ni wa pekee kwake. Ninapozungumzia hayo, namaanisha ubunifu kwenye mambo mengi ambayo hakika nikianza kuyaelezea hapa, nafasi inaweza isitoshe ila kwa leo nigusie utundu katika uwanja wetu ulee wa kujidai. Faragha ni eneo muhimu sa...

Jinsi Ya Kmpa Utamu Mpenzi Wako Mkiwa Faragha

Hapa ni mambo 10 muhimu, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika utakuwa umejijengea ulinzi wa yeye mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi yeyote huko nje. #1 – Mfanye akojoe kabla hujaanza kumuingilia (kungonoka) Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo. Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi. Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo. Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke akojoe kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo. #2 – Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, ki**mi, kiharage, kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu. Kama ambavyo wanaume wamezoea baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua s...

Mke alikataa kuja nyumbani nikaoa mwingine

NINA mke na watoto watatu. Mke wangu alipata kazi mbali na nyumbani na anaishi huko. Ni siku nyingi hajaja nyumbani na nikimuuliza anadai hana pesa. Nimeshindwa kuvumilia na nimepata mwanamke mwingine ambaye sasa ninaishi naye na pia ana mimba yangu. Mke wangu alijua na akanipigia simu akitishia kuwa akimpata mwanamke huyo nyumbani kwetu atakiona. Nifanyeje? Kupitia SMS Nitakulaumu kwa kukimbilia kuoa mwanamke mwingine eti kwa sababu mke wako amekawia kuja nyumbani. Kabla hujachukua hatua hiyo ungejitolea mwenyewe kumtembelea huko anakofanya kazi ili ujue shida iliyopo kwani wewe ndiye mume wako. Itabidi umwambie ukweli mwanamke huyo kwamba mke wako hamtaki hapo ili aondoke kwani hujui amepanga kuchukua hatua gani. Nashuku anidanganya HUJAMBO shangazi? Mimi nahisi kuwa mwanamume mpenzi wangu ananidanganya. Sababu ni kuwa bado anaweka nambari ya simu ya mpenzi waliyeachana. Nashangaa ni kwa nini bado anaweka namba hiyo kama kweli waliachana. Nishauri. Kupitia SMS Huenda mpenzi wako alia...

Busu la mahaba liwe taratibu tena sio la mdomoni tu

RAHA ya mwanamke ni mume. Tena mume anayejua kumsambaza, kumgawa, kumsambaratisha na kumrusha roho yake kwa ufundi. Lakini bahati mbaya sana sio wanaume wengi wanaojua wafanye nini kitandani kumridhisha mke, kama wao wenyewe wanavyoridhika. Na matokeo yake wengi wao hawatendi yaliyo sahihi katika kumpa raha mwanamke. Kumtosheleza mwanamke kunahitaji utumie akili, mwili na ubunifu wa ziada ili uweze kuamsha hisia zake. Wanaume wengi hufanya makosa kadha chumbani ambayo huwakosesha raha wake zao. Raha ambazo wangestahili kuzipata iwapo mwanaume angeepuka makosa hayo. Nitachambua mambo kadha ambayo wanaume wengi wanapuuza, lakini ndio nguzo kuu ya kuamsha hisia za mwanamke. Kuna yale mabusu, ambayo kaka zangu wengi huyapuuza wakidhani hayana maana yoyote. Ninaposema mabusu, simaanishi mabusu ya chap chap…la hasha. Busu la mahaba linatakiwa liwe taratibu na pia uelewe sehemu unazofaa kubusu. Naelewa kaka zangu wengi wanajua mdomoni pekee ndipo panapofaa kubusu, lakini sio mdomo na ulimi pe...

MANENO YA MAHABA KWA MPENZI WAKO....

leo nataka kuzungumzia maneno ya mahaba, jamani tunajuwa ya kwamba ukiwa na mpenzi wako unafurahi zaidi pale japo muda fulani atakupa maneno matamu, na mazuri na yenye kuzidi kukupa moyo wa wewe kuzidi kutaka kuwa naye... sasa kuna wapenzi wengine hata mimi nilishapitia mmoja wakati fulani, jamani wanaume na wanawake wenzangu hebu tujitahidi maneno kama mpenzi, honey, sweety, mkiwa mbele za watu kumuita mpenzi wako sio mbaya maana wengine haswa waliozaa utasikia baba fulani mara mama fulani inamaana baada ya kuzaa mpenzi, sweety, honey umeisha?????? tunawapenda sana watoto wetu lakini wao wananafasi yao na mwenza wako ananafasi yake... kwenye sita kwa sita watu utawakuta kimya tu madai wanasikilizia uhondo, jamani kuna maneno pale ama mnaoneana aibu sasa kwangu raha mpenzi aongee aniambie anavyojisikia wapi niongeze, vipi nikae, wapi nimshike kwa sauti ya taratibu na yenye mapenzi tele....sijui wewe mwenzangu sasa pakiwa kimya tu jamani na ndio kwa mfano kitanda ndio vileeee ukigeuka t...

MPENZI ANATAKA NYUMA....

kuna dada mmoja amenihadithia jambo akiomba ushauri anasema ana mpenzi wake wanaopendana sana wamekuwa pamoja kwa miaka mitano sasa, kila siku ya maisha yao haijawahi kutokea akajutia kuwa na huyo mpenzi wake.. kwa muda huo wote walikuwa wakikutana kimwili kwa njia ya kawaida tu ile ambayo inaruhusiwa kihalali na wala kulikuwa hamna tabu wala hamna mtu ambaye hakuridhika na starehe ambayo mwenzake anampa.. anachoshangaa yeye ni kwamba mwezi wa tatu huu sasa jamaa ananuna hataki hata kwenda nyumbani kwa huyo dada kisa jamaa amechoka kula mbele peke yake anataka kanga igeuzwe upande wa pili.. huyu dada alikataa na kumwambia hiyo siyo sahihi kwake, kitu mpenzi wake alichomjibu ni kwamba kwani wewe upo nji gani wasichana wenzako siku hizi wengi huwapa wapenzi wao upande wa pili kwa nini wewe hutaki kunipa? kama hutaki inamaana utaanza kumpa mtu mwengine ama unaona mimi sifai? yule dada kwa uchungu anasemakila siku alikuwa anampigia simu mpenzi wake akilia akimuomba aachane na hayo mawazo, ...

Maneno 14 Ambayo Mwanamke Anatamani Umwambie

#1 Yuko smarti . Hapa hauwezi kukosea wakati utakapomwambia kuwa anapendeza. Unachohitajika ni kumtamkia maneno kama haya wakati ufaao. Unaweza kumweleza sehemu ambayo unaona yuko smarti na utakuwa unamfurahisha wakati wote. #2 Unapenda jazba na msukumo wake . Kama umeona kuwa mwanamke aina hii ana ari na msukumo wa kufanikisha jambo flani basi unapaswa kumpongeza. Kama hana msukumo wowote katika maisha halafu umsifie atashangaa unamsifia na nini. So hakikisha kuwa unampa sifa aina hii kulingana na msukumo wake wa kutimiza jambo fulani katika maisha yake. #3 Unapenda vyenye anavyoishi . Hapa unamsifia maisha yake yote. Hii ina maana kubwa katika kila kitu cha maisha yake. Wakati unapomtamkia maneno kama haya hakikisha kuwa unakuwa serious na kile ambacho unatamka. #4 Kuwa yeye ni muhimu kwako . Kama unajaribu kumuonyesha mwanamke kuwa unamweka kipao mbele katika maisha yako unapaswa umwambie kuwa yeye ni muhimu katika maisha yako. Haya ni matamshi mazito ambayo utamfurahisha na kutaman...

Baadhi Ya Mbinu Za Kumridhisha Mwanaume Wako Kimapenzi

1 Usiwe mtu wa aibu aibu linapokuja suala la kitandani.  Mwaume anaweza akakupenda kwa mapozi yako na aibu kwanza (lugha iliyotumika hapa ni “innocence”), lakini hamna mwanaume atakaye endelea kuvumilia mwanamke, ambaye anastushwa kirahisi na kila kitu (mitindo ya kujamiiana), isipokuwa mtindo wa kifudi fudi, maarufu kama “Kifo cha Mende”. Wanaume wanapenda wanawake, ambao ni wataalam kitandani. Wanaume wanapenda wanawake, ambao wanajiamini na wanabuni manjonjo mbalimbali wakati wa shughuli. Kama unataka kumridhisha mwanaume wako kitandani, basi soma mbinu mbalimbali, ambazo zinatumiwa na wapenzi mbalimbali. Sio akikuambia fanya hivi, unaanza eti hizo style za kwa wanawake wako usiniletee, akikuambia fanya hivi eti sitaki, kwanza niache nmechoka. hatakujibu kwa maneno bali vitendo 2 Fanya mazoezi na onekana Bomba.  Wanaume ni watu wakujali sana muonekano wa mwanamke. Kwahiyo, sio lazima kuonekana kama walimbwende wa vichupi, lakini mtazamo wa karibu na hapo, utakuongezea mvuto zaidi ki...

Madhara ya kufanya Mapenzi kinyume na Maumbile

Image
Kama nilivyoelezea kwenye mada zilizopita, mchezo huu unatumika sana katika mapenzi ya sasa, watoto wa mjini wana usemi wao kwa kitu kilichovuma kuwa ‘ndiyo habari ya mjini’. Mchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU). Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu. Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya ‘basha’, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kuangalia ni wa mwanaume mwenzake au wa mwanamke. Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi. Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:  1.     Husababisha kusi...

Vyakula Vya Kuongeza Hamu Ya Mpenzi Kitandani

Ni kweli kwamba kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa au kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki[nyege] ya kufanya tendo la ndoa huwa ni kazi bure kwani hamu haimjii haraka au haimjii kabisa na hata akiamua kufanya anafanya tuu ili kumridhisha mwenzake. Japokuwa hisia za mwanamke zipo mbali mno lakini kama mwanaume atamshikashika pande tofautitofauti za mwili wake na kumletea utundu wa hapa na pale basi hisia huja na akajiskia ni mwenye kuhitaji tendo hilo la kiutu uzima na akaweza ipasavyo. Kama na wewe ni mmojawapo kati ya wahanga wa tatizo hilo nakushauri tumia dawa hizi zenye kupatikana kiurahisi kabisa katika mazingira yetu kwani ni zenye kusaidia kutibu kabisa matatizo ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi kwa wanawake kwa haraka zaidi. MBEGU ZA FENESI Mbegu za fenesi zinafahamika na kila mmoja,ni zile ambazo zinapatikana ndani ya tunda la fenesi,kama mwanamke anapendelea kula tunda hizo kuanzia kumi au zaidi kila baada ya siku 4 baada ya kuzichemsha na kuiva viz...

Utamu Utamuni

Kama ilivyo kwenye kufika kilele sio wanawake wote wamejaaliwa kufikia Mshindo hali kadhalika sio wanawake wote wanaofika kileleni na kumwaga kama bomba. Sasa kama unataka kujua kama na wewe unauwezo wa kukojoa kwa kusikia utamu wa ngono na kumwaga ka' bomba mumeo atahitaji kufanya kazi ya ziada kufanikisha hilo. Kuhisi kutaka kukojoa-Sehemu kubwa ya wachangiaji wamefananisha au kulinganisha hisia za kutaka kufika kileleni na zile za kuhisi kutaka kukojoa. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa lakini kama wewe ni mwanamke ambae hujawahi ufika kileleni na hujui hisia za utamu wa ngono ni wazi kuwa utadhani hisia hizo za kutaka kukojoa (mkojo wa kawaida yaani) ndio kufika kileleni kwenyewe lakini siooo. Baadhi ya wanwake huwa wanahisi hisia hizo za kutaka kukojoa mara tu uume unapoingia na hapo ndio huwa wanadhani kuwa huo ndio utamu wa Ngono unaopatikana kwa kusuguliwa kipele G, vilevile wapo ambao wanapata hisia hizo tendo likiendelea kwamuda mrefu na kudhania sasa wanafikia mshindo n...