Imetosha! Nataka kuoa, nimefanya vitu vingi sana - Diamond Platnumz


Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amefunguka kuhusu mipango yake ya kuoa na siku atakayoowa.

Diamond akihojiwa na  Wasafi TV amesema ana kila sababu ya kuoa kwa sasa kwani ameshafanya mengi kwahiyo anahitaji kutulia kwasasa.

"Nimepanga nioe Valentine mwaka huu , valentine itakuwa siku ya Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi mpaka Jumapili, so far iko hivyo ikitokea iko tofauti nitabadilisha, nataka kuoa mwaka huu nina kila sababu ya kuoa, imetosha nimefanya vitu vingi sana, yaani nimefanya vitu vingi yaani doh mambo mengi sana i need to settle down, nahitaji kuoa mwanamke atakayenisaidia kuhandle hivyo vitu ," amesema Diamond.

Comments

Popular posts from this blog

Vifahamu Vitu Vidogo Vidogo Ambavyo Huzidisha Utamu wa Mahusiano Katika Mapenzi

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

Jinsi ya kumtoa msichana Bikra bila maumivu, wengi hawajui hili, Cheki hapa.