UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

Nilisimama mlangoni nikawa nasikia mama akiongea hapohapo hisia zilinipeleka mbali.

SONGA NAYO.
"mdogo wangu rose umetembea nae, mama neema, wafanyakazi wa ndani wote waliokuja hapa umewapitia kwakweli bac clement sikubali kama unataka huyo mfanyakazi hawepo basi mimi naondoka"

Kulalama kule kwa mama kulinifungua akili nakumbuka mama mdgo rose ameanza kukaa nyumbani tangu mdogo na amesomeshwa hapahapa lakini cha ajabu hataki hata kukanyaga nyumbani tangu haondoke kumbe inawezekana waligombana na mama. Na ki2 kingne kinanishangaza ni mama hapendi niwe karibu sana na baba nikapata jibu kumbe anaogopa nisitembee nae, nilijikuta namshangaa baba kwa jinsi alivyokuwa malaya kumbe rafiki za mama na ndgu zake wengi kisha wapitia na hili hali mama yangu ni mzuri mama wa watu na sijaona hata kasoro kwake kama kupenda baba anapendwa nilijikuta najisemea moyoni "mmh ngoja nikalale mimi mtoto sipaswi kuingilia mambo ya wakubwa"

Nilipofika kitandani nililitafakari lile suala kwa kina kabla usingizi haujanipitia saa nane hivi.

Nilikurupuka baada ya kusikia alarm ya simu yangu inahita siku hiyo nilikuwa na kipindi saa mbili net hivyo nilichofanya nilioga haraka sikunywa hata chai nikachukua funguo ya gari kabatini tayari kuondoka na wakati huo sikuweza kumuona mama nikajua yale mambo huenda waliyamaliza hiyo jana usiku.

Nilikaa darasani lecture akawa anafundisha na mimi nilikuwa makini kumsikiliza huku nikinote baadhi ya vitu mara nikaona simu inatoa mwanga ishara ya kuonyesha kuna mtu anapiga mimi mara zote nikawa class ama nazima au kuweka silence nilichukua na kuitazama lilitokea jina la lovery mamy kutokana na kukaa katkati ya watu nikaamua kuiasha iite tu kwani zilibaki dak10 kipindi kimalizike. Mama alipoona kimya alituma ujumbe "cleme mwanangu mimi naondoka nipo kwa mama yako mkubwa wa msasani" moyo ulipasuka nikajua mama ameöndoka maisha yatakuwa magumu. Kipindi kilipoisha niliondoka sikutaka kusubiri kipindi cha pili nilipitia msasani kwa mamkubwa nilikaa pale na mama nae akaniahidi atarudi baada ya wiki hapo kdogo nikafarajika na kurudi nyumbani.

Kulikuwa na utulivu sana nyumbani nikajua dada wa kazi atakuwa peke yake nilipaki gari nje nikaingia ndani kisha nikafungua mlango taratibu na kufunga mlango. Niliona ukimya umetawala ila jikoni palikuwa na purukushani na kilio kama mtu anapigwa nilifungua mlango nilishangaa nilichokiona.

USIKOSE SEHEMU IJAYO.

Comments

Popular posts from this blog

Vifahamu Vitu Vidogo Vidogo Ambavyo Huzidisha Utamu wa Mahusiano Katika Mapenzi

Jinsi ya kumtoa msichana Bikra bila maumivu, wengi hawajui hili, Cheki hapa.