MAMA VANESSA SEHEMU YA 19

“Upweke ni ugonjwa mbaya sana huku duniani na upweke unaweza kukufanya ukawaza mambo mengi yaliyopita na kujikuta mwenye huzuni. Nimegundua utakuwa mpweke sana usiku huu na nimeona walau nije nikufute machozi yako”

“Kwa sasa sina machozi maana nilishaliia mpaka yakakauka.Umejauje kama nakaa hapa?” alihoji Lucas kwa upole

“Naomba tuzunguzie ndani maana leo mimi ni kama malaika ambaye nimetumwa kukuleta faraja”. Alijubu Juliana.

Haikujulikana Julaina alikuwa ametoka wapi na amejuaje kama mwanaume huyo alikuwa akikaa hapo. Julaina alikuwa na yake moyoni ambayo Lucas hakuyafahamu. Lucas alikubaliana na binti huyo wakaingia ndani.

“Kwa sasa najua kila kinachoendelea kweye maisha yako. Najua unatoka na mke wa boss wako lakini hata hivyo kisasi sio jambo zuri..Jambo zuri ni faraja na kuweza kusahau yote yaliyotokea. Nimekuja kukupa faraja kwa maana mke wa boss ni faraja iliyombali”. Juliana aliongea huku akimsogelea karibu.

Lucas alitamani kumsukuma lakini roho ilisita.Uturi mzuri aliojipulizia mlimbwende huyo ulimfanya awe kimya kwa muda. Maneno ya mlimbwende huyo yalimchanganya na kukivuruga kichwa chake. Alihisi rafiki yake Kimaro alikuwa akitoa asiri zake kwa Julieth na Julieth akamwambia Julaina. Alizama kwenye tafakari fupi juu ya maneno hayo yaliyosemwa.

“Nisamehe bure Lucas sikupaswa kukuambia haya kwa sababu ni siri. Ila wewe ni mwanume lijari ambaye unaweza kumchanganya mwanamke akakutana na wewe siku moja na kumfanya hasikusahau. Kuna zawadi moja tu nahitaji kutoka kwako lakini ili unielewe…” Juliana aliakatisha maneno na kuinuka. Alichukua glass na kumimina pombe kali aliyokuja nayo. Alianza kunywa yeye kisha kumpatia mwanaume huyo. Lucas hakusita na alihisi huenda ikawa faraja mara baada ya kichwa chake kuvurugwa vya kutosha.

“Hii ndo faraja inayozungumziwa?” Lucas alihoji mara baada ya kugigida kinywaji.

“Hii ni robo lakini faraja ya kweli nimeibeba mwilini mwangu.”Jualaina alijibu huku akipeleka kinywa chake kwenye kinywa cha mwanaume huyo. Ndimi ziligusana mate yakasemaezana na ukimya ukatawala. Ni kama vile waliongea lugha moja lugha iliyochagizwa na kinywaji walichokunywa. Michezo ya uchokozi ikaanza na sasa wakaaza kupapasapasana huku na kule. Sofa likageuka uwanja wa huba. Vifungo vya shati vilimfunguka Lucas bila kupenda. Juliana naye blazia iliachia matiti bila tabu. Mikono ya Lucas juu ya matiti ya Juliana. Mikono ya Juliana juu ya kifimbo cheza cha Lucas. Mihemo iliongezeka machozi ya viungo vya siri yalitoka na kulowanisha maneno hayo. Waliamia dunia ingine kabisa dunia ya raha za mapenzi. Hata mlango uliokuwa wazi hakukumbukwa kufungwa. Kwa mikao ya sofani wakavunja amri ya sita. Hawakukukmbuka kutumia hata kinga na hii ilikuwa ndo furaha ya Juliana maana kilichompeleka hapo si kingine bali ni kupata ujauzito.

Juliana waliapanga na pacha wake kumteka Lucas kimapenzi na hiyo ni mara baada ya kuona kuwa penzi lake na mkewe likuwa limevurugika. Kwa kuwa Julieth alikuwa akiambiwa kila kilichokuwa kikiendelea na mipango yote aliona kama Juliana atabeba mimba ya mwanaume huyo itakuwa rahisi sana kumshawishi Lucas awe naye. Kwanza walivutiwa na juhudi zake kimaisha na pia Juliana alikiri kwa kinywa chake kuwa hajawahi kukutana na mwanaume mtamu kama huyo. Kwa msaada wa pacha wake ndo akajua anapokaa. Juliana alichoka kuwa na penzi la kuibaiba na alaijua kabisa Lucas na mke wa boss hawana future yoyote maana boss akigundua atamuua. Ukisikia mapenzi upofu ndo hapo sasa. Wakati Lucas akifurahia penzi tamu la msichana huyo ambaye aliamua kulala kabisa msichana huyo alikuwa akifurahia maana siku hiyo alikuwa kwenye siku hatari ya kupata mimba.*******

Kwa upande wa Mama Vanesaa yeye alikuwa na uchungu uliopitiliza. Aliwaza kwa nini mme wake aliamua kufanya umalya uliopitiliza. Kitendo cha kupata fununu kuwa mme wake alikuwa akitoka na binamu yake kilimuuma sana. Alioana kuwa kwa sasa amefika kubaya bora waachane. Usiku huo mme alirudi huku akiwa amelewa.

“Wewe mwanamke naona sasa unatumia uhuru nilokupa vibaya. Umeniona mimi fala na unaweza kwenda popote ukazima simu na ukalala huko huko” Baba Vanesa hakuongea kwa maneno tu bali vitendo. Alivuta mkanda wake na kuanza kumpiga. Mama Vanesa na yeye alikuwa na hasira zilizopitiliza ukizingatia alikuwa ametumiwa na picha za ushahidi wa tukio lilotokea. Katika hali ya kujiteta na kipigo cha mme wake aliamua kupambana naye.Alimsukuma na aliangukia na kujigonga kwenye kabati. Mlevi ni mlevi tu maana Baba Vanesaa hakuwa na nguvu.

“Sijawahi ona mwanaume Malaya kama wewe. Yaani umefanya umalaya kote na sasa umeamua kutoka na binamu yangu. Kweli wewe ni shetani” Mama Vanesa aliongea kwa uchngu wakati baba Vanesaa akiugulia maumivu pale chini.

“Wala usinilaumu mimi. Alaumiwe ndugu yako na tamaa zake. Kama anitaka mimi nifanyaje. Mimi si hanisi bwana mimi ni mwauame lijali nimempa alichokuwa anakitaka”Baba Vanesaa alijbu kwa sauti ya kilevi.

Kauli hiyo ilimuumiza sana mama Vanesaa. Maama maneno hayo yalithibitisha kama kweli huyo mwanaume ni shetani.

“Una urijali gani kama umekaa na mimi miaka miwili umeshindwa kunipa mimba.Mtu mwenyewe kitandani kwachu kazi tu kuwachafua wanawake. Wewe na mtambi wako huo kama nyumba, kidudu kama kidole cha mtoto huwezi kumrizisha mwanamke nakushanga tu kujishaua. Yaani ujue nakuvumlia tu lakini ukweli huwezi kunikuna kabisa”Mama Vanesa aliongea maneno ya shombo.

“Pumbavu kabisa ngoja leo nikioneshe kuwa mimi ni mwanaume.” Baba Vanessa alinyanyuka pale na kumfuata mama Vanesa.Alianza kwa kumpiga kibao. Mama Vanesaa hakukubali na yeye alaijibu mapigo. Ikawa piga nikupige na mama Vanesaa akakata mzizi wa fitika na kunyanyua chupa kumbwa ya wine amabyo ilikuwa pembeni ya kitanda na kumpiga nayo kichwani. Puuuuuu!!!!!!!! Baba Vanesa alianguka chini kama gunia la mahindi. Kimya kilitawala .

“Mama Vaneaa umeniua, ilisiskika sauti ya baba Vanesaa huku povu likimtoka mdomoni.

“Kufa salama tena wasalimie kuzimu waambie mimi ndio mrithi wa mali zako..”

Mara baba Vanesaa alianza kutupa tupa miguu jambo ambalo lilimshangaza mama Vanesa. Baada ya muda kimya kikatawala. Alijaribu kumtingisha lakini hakutingishika. Hofu kuwa alimua mwanaume huyo ilimtawala. Mama Vanesaa alianza kupiga piga miguu hasijue nini cha kufanya. Kwa elimu ndogo ya unesi aliyokuwa nayo ni kwamba mwanaume huyo alizimia. Aliwaita walinzi na kuwaambia kuwa baba Vanessa amezidiwa na pombe. Lengo ilikuwa ni kutengeza mazingira kama mwanaume huyo akifa basi yeye hasiwe hatiani. Walimkimbiza hospitalini usiku huo huo. Kwa bahati nzuri daktari aliyempokea alikuwa ni ndugu wa mama Vanesa. Baada ya muda mfupi daktari huyo alimwita na kumweleza ukweli kuwa baba Vanesa amekwisha fariki..Mama Vanesaa alichanganyikiwa na kuona mlango wa gereza ukifunguka na yeye kutakiwa kuingia ndani..*******Je nini kitafuata?..USIKOSE SEHEMU YA 20

Comments

Popular posts from this blog

Vifahamu Vitu Vidogo Vidogo Ambavyo Huzidisha Utamu wa Mahusiano Katika Mapenzi

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

Jinsi ya kumtoa msichana Bikra bila maumivu, wengi hawajui hili, Cheki hapa.