MAMA VANESSA SEHEMU YA 15..



Alirudi kinyumenyume na kuamua kuondoka zake. Mishale ya hatari ilipiga kichwani mwake na kuhisi kama wataonana huko inaweza kuleta shida. Alihisi kuwa ataulizwa maswali ambayo kwa kweli atashindwa kuyajibu na kufanya mambo kuzidi kuwa magumu. Alirudi kisha kupanda gari na kuanza safari ya kwenda Musoma. Baada ya kupanda gari aliamua kuwasha simu ili kuona sms zilizoingia na jinsi ya kujipanga kama atakuta za mme wake. Akiwa njiani kuna sms iliingia kupitia namba ngeni.

“Najua hunijui lakini mimi nakujua. Kama mwanamke mwenzangu hili linaniuma sana maana si kwa umalaya huu. Ni hivi mumeo yupo Bunda na anauhusiano wakimapenzi na binamu yako Lisa yule ambaye anasimamia biashara zenu huku Bunda. Ingia WhatasApp nimekutumia ushaihidi wa picha usije sema nataka kuivunja ndoa yako.” Ilikuwa ni sms iliyotumwa na mtu ambaye hakujitambulisha ni nani. Mama Vannesa alirudia kuisoma ile sms zaidi ya mara tatu kisha akawasha data ili kuona hizo picha. Ni kweli mme wake alikuwa yupo na ndugu yake huyo. “Jamani Lisa mbona ataniua kwa presha” mama vanesaa aliropoka mara baada ya kuona moja ya pozi ambalo lilionesha kuwa kuna kitu kilikuwa kikiendelea. Machozi yalimlengalenga na alijuta kuolewa na mwanaume huyo. Roho ilimuuma sana na alishindwa kuelewa baba Vanesa alikuwa na pepo gani.

Ingawa picha hizo hazikuonesha moja kwa moja kuwa kulikuwa na ushaidi kuwa watu hao ni wapenzi lakini kilichomuuma ni binamu yake kumdharaua. Anakumbuka alishamuonya kuwa kamwe hasiweke mazoea na shemeji yake lakini yeye amaemua kumgeuka. Atakipata anachokitafuta na kumuoneshea kuwa mimi huwa sijaribiwi safari yake ya kurudi kijijini imeiva. Nitamrudisha ndio nitamrudisha hata kama ndugu zangu watanichukia ila hawezi kuwa na uhusiano na mme wangu.” Mama Vanesa aliwaza vitu vingi sana huku akijiuliza kwa nini mambo hayo yanamtokea wakati huu. Alijiuliza pia kwanini mme wake hakumtafuta jana na kutaka kujua alilala wapi. Aliona ishara zote kuwa kwa sasa ndoa yao inakwenda kuharibika.

Alifanikiwa kufika Musoma salama na moja kwa moja alienda nyumbani kwake. Alivunguliwa gati na mlinzi. Alitaka kuuliza kama mumewe mara ya mwisho kupita kwenye geti hilo ilikuwa saa ngapi lakini roho yake ilisita na kuona kama jambo hilo halijakaa vizuri na sio vizuri. Aiingia ndani na alimkuta dada wa kazi hapo sebuleni. Dada huyo kwa heshima alimpokea mkopa na kuupeleka chumbani.Baadaye alimwita na kumuuliza maswali mawili matatu ili kujua kama kweli mme wake alilala hapo au la.

“Hapana dada hakulala maana jana wewe ulivyoondoka muda mchache tu na yeye aliondoka. Na mimi kwa akili yangu nilijua labda amekufuata.”

“Sawa enedelea na shughuli zako na akija akikuuliza kuwa nimelala hapa mwamabie ndio.”

Mama Vanessa alaiingia ndani ya kujimwaga kitandani. Mawazo ju y mustakabali wan do yake sasa yalimtawala. Roh ilikuwa ikuuuma sana. Baba Vnaesa afaney umala wake sehemu zzoet sio kwa ndugu zangu huku ni kunizaliisha na kunishushia thamani. Hivi kweli anaweza kutembea na ndugu zangu. Yaani hili pepeo la umaaya siji ameliapa wapi. Mama Vvanesa aaliendelea kutingwa na mawazo, Mawazo yaliyofanya kitanda kuonekana kichungu. Aliamka na kwenda bafuni kuoga. Airudi akajilaza. Alipitiwa na kausingizi kausingizi kilichochagizwa na mlindikano wa uchovu wa raha alizokuwa akipewa usiku kucha wa jana.****

Lucas Manyama kijana ambaye alikuwa na chuki ya kulipa kisasi baada ya kuachana na mama Vanesa alimtafuta rafiki yake Kimaro. Kimaro alitakiwa kufika eneo lile la hotel kabla muda wa kurudisha chumba haujafika. Lengo lilikuwa ni kuweka mikakati mipya na kufanya tathimini kama mipango yaliyopanga ilikuwa imefanikiwa. Lucas alikuwa mweye furaha sana maana kazi aliyotumwa alifanikiwa. Alifanikiwa kwa sababu zile kamera zilimuonesha akiwa na mama Vanesa chumbani. Si kuwa naye tu bali alionesha jinsi walivyokuwa wakishiriki tendo la ndoa. Kimaro macho yalimtoka kama mjusi aliyebanwa na mlango. Hakuamini kile alichokiona hasa ule wakati Lucas alipoamua kufanya mapenzi na mama Vanesa bafuni.

“Aisee brother wewe ni fundi sana aisee umemkula bafuni tena umemuweka pozi kama anakunya”

Picha hiyo mama Vanessa amekaa kwenye sinki la choo huku Lucas akifanya yake ilimshangaza sana. Tayari walishapata walichokuwa wakikitafuta.

“Nini sasa kinafuata maana kuna vitu mama Vanesaa amenishauri hivyo lazima tushauriane kabla ya kufikia uamuzi wowote.

“Amekushauri nini Kimaro aliuliza kwa utulivu.

“Kwanza nitafute chumba Mwanza nihame Musoma. Pili niachane na kesi yangu maana sitoshinda. Tatu yeye yupo tayari kunisapoti kwa kila jambo hasa kifedha. Ila la msingi lilinifurahsha yupo tayari kunizalia mtoto.”

“Wewe utakuwa umechanganywa na mapenzi. Yaani unaamini huyo mwanamke kweli anaweza kukusaidia ukalipa kisasi na kuwa mtu bora huku duniani?.”

“Anaweza kufanya kwa ajili ya kisasi na mapenzi. Nilichogundua ni kuwa yule mwanamke boss alikuwa hamsugui vizuri. Yaani jana alikuwa na nyege nyigi sana kwa kifupi alikuwa hapati raha ya mapenzi na alikuwa harizishwi kitandani..

“Sasa kaka Lucas hizi pointi zako bwana.. Hivi kama wewe ulikuwa unamrizisha mke wako angekuacha n kumfauta boss wako?

“Acha kufanya mambo yawe magumu. Ipo hivi twende tukatafute chumba hapa Mwanza. Mimi nitaamisha vitu vyangu maana mama Vanesa ameahidi kunisapoti kwa hili.Pili hizi picha tuzihifadhi kama tukiona wanazingia basi tutatumia ile njia yako ya kumchafuta na ikibidi tutatumia hizi picha kupata fedha. Mimi naamini kama tukizipeleka kwa waandishi wa habari kwisha habari yake.

“Hayo ndo maneno sasa. Chumba nitakutafutia na hata kazi ya kujishikiza. Pia nakupa miezi mitatu tu wewe na mama Vanesa mkishindwa kufanya hicho mlichodanganyana basi mimi nitafanya yangu. Sitokuwa na huruma kwenye hili kwa maana nimetumia pia fedha zangu.”

“Usiwe na hofu maisha ni mipango.Nakuamaini wewe ni rafiki yangu wa muda mrefu najua utatunza siri hasa za hizi picha maaa hizi zikivuja sio aibu kwa mama Vanesa tu bali hata kwangu”.

“Ondoa shaka kwa hilo” Kiamaro aaljibu na kunyanyua simu.

“Vipi bwana Lugamba nahitaji rooma moja nzuri ya self container”

“Ipo ya vyumba viwili chumba na sebule ni nzuri sana kama inakufaa uje uangalie”

“Sawa tunakuja hapo”..

Lucas na Kimaro waliongozana kwenda kuangalia nyumba hiyo. Walipelekwa na dalali ambaye alikuw akaijuana na bwana Kimaro. Wakati wanaingia kwenye nyumba hiyo walishangaa kumkuta Juliana akiwa anafua kwenye uwa wa nyumba hiyo…

******ITAENDELEA



Comments

Popular posts from this blog

Vifahamu Vitu Vidogo Vidogo Ambavyo Huzidisha Utamu wa Mahusiano Katika Mapenzi

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

Jinsi ya kumtoa msichana Bikra bila maumivu, wengi hawajui hili, Cheki hapa.