MAMA VANESSA SEHEMU YA 14.

Hakuna ambaye aliyeweza hata kuongea. Wote walikuwa kimya wakisikilizia utamu utamu walichokifanya. Walikuwa wamechoka sana na kufanya wote wapumzike. Walivuta shuka na kujipumzisha. Kila mtu alikuwa mwenye furaha kwa raha walizopatiana. Kausingizi kazito kalizidi kuwanyemelea na baada ya muda mfupi walipotelea ndotoni. Ilikuwa ni furaha sana kwa Lucas kupunguza machungu na kuanza kulipa kisasi kwa kulala na mke wa boss. Pia ilikuwa ni furaha sana kwa Mama Vanesa maana alipata raha ambayo alikuwa hajaipata kwa muda mrefu sana. Alitamani sana kama mwanaume wake angekuwa akimpa hayo mapigo. Lilikuwa ni swala la furaha kwa wote na walilala usingizi kama mke na mme.

Asubuhi ilifika na waliamua kumalizia tena rundi ya asubuhi. Cha asubuhi kilikuwa kitamu sana na baada ya hapo walingia kuoga na kwenda kupata kifungua kinywa. Walikunywa supu na baada ya hapo walianza kupanga mikakati yao ya kufanya.

“Lucas asante sana jana umenipa penzi tamu ambalo sijalipata tangu niingie kwenye ndoa. Wewee ni mwanaume lijali.

“Nashukuru Mama Vanessa hata mimi nimefurahiswa sana na nakiri wewe ni mwanamke mtamu kuliko hata mapenzi yenyewe.”

Wote walifurahia na kuendelea kuweka mikakati huku mama Vanesa akisisitiza na anatamani raha hizo ziendelee milele katika maisha yake. Mama Vanesa aliongea kwa hisia sana na alionesha ni jinsi gani alivyokuwa amechoshwa na penzi la baba Vanessa. Hadi muda huo mama Vanesaa alikuwa hajawasha simu. Na alikuwa hataki kufanya hivyo mpaka hapo atakapofika nyumbani.Alijua kabisa ugomvi wake utakuwa mkumbwa sana.

“Kwa hiyo Lucas mimi kwa raha nilizozipata naomba tuendelee kuwa wapenzi wa siri. Kama tatizo ni pesa, hilo niachie mimi nitakusadia utafanikiwa ..Nihadi kama utaweza huu mpango.

“Nitaweza mama Vanesaa lakini mwish wa hili ni nini?”

“Utakuwa aumelipa kisasi na dawa ya kisasi ukilipe kwa muda mrefu..Tusiwe na haraka sana maana hatutafanikiwa kama baba Vanesaa akigundua kwa haraka nia yetu.

“Sawa mama Vanesa mimi nipo tayari kwa yote ila hakikisha unanisaidia kutoka kwenye hali hii ya umasikini..

“Hilo ondoa shaka kwa kuanzia …” alisita kidogo kisha kuvuta mkoba wake na kutoa hundi. Alimwandikia pesa ya kutosha ili aende kutoa banki. “Hii itakusaidia ulipe kodi na ningekushauri kama ungeweza hama Musoma..

“Kwa nini nihame Musoma?

“Kwa sababu za kiusalama maana baba Vanesa sio mtu mzuri kabisa anaweza hata kutoa uhai wako..

“Sawa basi nitahama kwa kuwa kodi yangu na yenyewe imeisha lakini….”Lucas kabla hajamaliza alikatishwa.

“Lakni nini? Sikia nakuomba usiwaze tena kuhusu ile kazi yako ambayo ulikuwa ukiifanya mwanzo. Ile itakutia matatizoni zaidi. Tena usiangaike na habari za kwenda sijui idara ya kazi ni kupoteza muda wako. Baba Vanesa ni mtu anayeheshimika sana na ni mtu muhimu sana kutokana na michango yake ingawa hayo yake ya ufirauni na uhuni huwa hayapewi uzito. Ana watu wengi sana hivyo hutoweza kumshinda.

“Mama Vanessa nakuelewa sana na nipo tayari lakini tambua roho inaniuma sana. Kwa nini anipokonye mke wangu?.Mwanamke niliyetoka naye mbali. Mwanamke ambaye nimemsomesha na kumgharamia sana.

“Pole sana najua unaumia lakini ngoja nikuulize kitu, kwenye maisha wewe unataka nini hasa?

“Furaha amani upendo na maisha bora”

“Unahisi siwezi kukupa vyote hivyo”

“Sina uhakika”

“Ok mimi nitakupa chochote utakacho na ata ukitaka aniwe mke wake itakuwa sema nini unahitaji ambacho ndicho hofu yako kubwa?”

“Familia, mimi ni kijana ambaye umri umeenda nilivyooa nilitarajia yule mwanaume anizaliwe mtoto na mimi niitwe baba.

“Jambo rahisi sana mimi nipo tayari kuuzalia mtoto ila kwa sharti moja?

“Kunizalia mtoto!!! Sharti gani hilo?

“Kwamba tutafanya siri na tutammbambikizia hiyo mimba baba Vanesa. Alafu baadaye mtoto akishakuwa ndo utamchukua.

“Mmmm sikuwahi kuwaza kama unaweza kuwa tayari kwa kila jambo. Lakini mama Vanesa kwanini unataka kunifanyia yote haya?

“Kwa sababu nakupenda”.

Lucas ilibidi awe mpole alishindwa kuelewa huyo mwanamke kwa nini aliamua kujitoa muhanga kiasi hicho. Hakuelewa na haukamini kama mke wa boss wake anaweza kumkubali kiasi hicho na eti yupo tayari hata kumzalia mtoto.

“Mama Vanessa nahisi hujui ulisemalo. Nahisi wewe umachanganyikiwa na ndio maana unaongea vitu ambavyo hutoweza kuzifanya. Yaani wewe kila kitu unataka kunifanyia.. Nikuombe nikupe muda ukatafari kila jambo tulilotenda na yulilopanga kutenda na ni madhara yake.. Ukishatafakari ndo tuje tuzungumze tena hata mimi nahitaji tafakari kidogo.

“Asante Luas usiwe na hofu maihsa ni mipango na kwa kuwa unaonekana uniamini nipe huo muda unaousema nitakuaminisha. Kwa sasa mimi narudi zangu Musoma tutazidi kuwasiliana na utanitafuta kwa namba ile ya siri ambayo nimeinunua kwa ajali yako tu.

“Sawa haina shida safari njema.”

Walaigana kwa mtindo huo na mama Vanesa aliondoka na safari ya kurudi Musoma ilianza. Alipanga kushukia Bunda ili kufuatilia mambo yake ya biashara na akifika huko ndo ampigie mumewe. Alifika Bunda baada ya masaa mawili. Alifika kwenye moja ya sehemu yao ya biashara. Hapo alipigwa na butwaa mara baada ya kumkuta mme wake. Alipanga kumdanganya kuwa alikuwa huko..

********ITAENDELEA

Comments

Popular posts from this blog

Vifahamu Vitu Vidogo Vidogo Ambavyo Huzidisha Utamu wa Mahusiano Katika Mapenzi

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

Jinsi ya kumtoa msichana Bikra bila maumivu, wengi hawajui hili, Cheki hapa.