Yafamu Mambo 5 Ya kuongeza Mahaba Kwa Mpenzi Wako[wanawake]

Wapo baadhi ya wanawake hudiriki hata kutumia ndumba hii yote ikiwa kuwafanya wanaume zao wawapende, lakini wengi wao wamesahau ya kwamba kufanya hivo sio chachu ya kufanya mahusiano hayo yakue bali ni kuyadidimiza. Lakini ukweli kwamba mambo ya libwata yamepitwa na wakati katika karne hii hivyo ili mumeo akupende zaidi katika mahusiano yenu unatakiwa kufanya yafautayo;

1. Muamini mmeo au mchumba wako.

2. Usimkatishe tamaa katika maono yake.

3. Usimlazimishe kupenda mambo unayoyapenda.

4. Kila wakati kila unapo tatizo ni vyema ukamwambia kuliko kusema kwa wengine.

5. Usidhani kwamba hawezi kutambua uwepo na uzuri wa wanawake wengine hivyo mfanye awe karibu nawe ilia one thamani yaw ewe pekeee..

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

MAMA VANESSA SEHEMU YA 16.