MAPENZI BASI[V]

Dada wa kazi alichukukua kikapu na kwenda nacho chumbani kwa Imma. Akiwa anatoka chumbani kwa Imma mama yake Imma aliekuwa anatokea kazini alimuuliza anatoka kufanya nini chumbani kwa mwanaye na kikapu cha sokoni wakati imma hayupo. Na kumwamulu beki tatu huyo ampe kikapu aone ameweka nini. Baadaa ya beki tatu kusogea hatua chache akimfata mama Imma ili kumpa kile kikapu huku akijitetea kuwa alifata viatu vyake ambavyo Imma alikuwa amevivaa jana yake, simu ya mama Imma ikasikika ikilia wimbo wa mapenzi basi ulioimbwa na diamond kumaanisha kuwa ilikuwa ikipigiwa. Alipokea simu hiyo iliyokuwa muhimu kwake na kumruhusu binti wa kazi au beki tatu kwa wengi tulivyo zoea kuita, kwenda alipo kuwa akienda huku yeye akielekea chumbani kwake.
Baada ya beki tatu kufika kwa Imma alimkabidhi Imma nguo hizo huku akimsindikiza kwa maswali yaliyo kosa majibu. Beki tatu alifanya alivyoagizwa na Imma kwa sababu na yeye alikuwa mmoja wa watu ambao Imma huwatumia akiwa na matamanio ya kimapenzi na shida ya pesa. Binti huyu alidata na penzi la kijana Imma abaye kiumri alizidiwa miaka 3. Kwani Imma aliekuwa na miaka 17 tu. Imma alifika nyumbani na kuanza kazi zake za kulisha kuku na baadae kwenda kwa kina Akily kusimuliana yaliyojiri jana yake. Imma alimsimulia Akily jinsi alivyopata zari usiku uliopita na alivyojibebisha na mmama yule. Kama kawaida ya marafiki Akily ampa sifa Imma na kujiona yeye ni bingwa wa kukonga nyoyo za wadada yani tamu ya ma sista du. Ilikua jumamosi ya saa 9 ambapo imma aliamua kumtafuta swaum binti wa makamu walioonana siku chache zilizopita ile anapiga namba ya swaum alipigwa na butwaa sana alishangaa na kujiuliza mengi.
Itaendelea

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

MAMA VANESSA SEHEMU YA 16.