MAPENZI BASI[III]

Upumuaji wa madam ukabadilika kana kwamba anafukuza kuku mgeni. Ghafla mlango ukagongwa. "Ahh sijui nani tena, watu wengine wanaudhi sana" madam Effector alikwenda mlangoni akiwa na hofu asitambue ni nani. Imma naye alisha kimbilia chumbani apate pa kuanzia mambo yatakapo halibika. "samahani sana dada naulidhia kwa mama zaudati muuza vitumbua nimeelekezwa sijui ndo hapa" aliongea mpita njia aliekuwa akigonga "kusoma ujui hata harufu hutofautishi alokwambia kunashombo la vitumbua humu ndani nani, inamaana umevuka nyumba zote huko kuja kukata nyege zetu kwa usumbufu wako muone huko alokwambia uchelewe mjini nani uje usumbue wengine potea sasa" madam alipaniki sana alijawa na hasira sana. Alivyo rudi ndani alimkuta Imma kakaa sebuleni alishajua ninikilikua kinaendelea tayari hivyo hofu ilisha potea zamani. Imma aliaga lakini madam hakutaka aondoke "sikia madam tushachawiwa tayari ngoja mi niwahi kuku nyumbani wananisubiri" madam alikubali kwa shingo upande na kumruhusu huku akiambulia denda tu siku hiyo. "duh nimekatiliwa kwel ila leo beki tatu atakipata nyege nilizo nazo ataimba, ngoja niwahi nikasafishe mabanda maana muda usha enda sana" aliwazua Imma akiwa ndani ya daladala kuelekea kwao mecco. Alivoshuka ndani ya gari akielekea kwao ambapo hapa kuwa mbali sana na mecco stand, alimuona binti wa makamu mwenye wowooo lililonona hatari. Imma alihisi anaota hakukubali auachie mzigo huo. Aligeuka nyuma na kuanza kurudi huku akiviziwa asiony'we na yule binti alieonekana kumzidi kidogo ki umri. "samahani dada ulifanikiwa kupaona kayonza pharmacy jana au ndo umerudi na leo"
"mmmh sorry umechanganya mafaili mi sie huyo unae mzungumzia"
"duh sa kumbe we nani" alijibalazua Imma kana kwamba anamfahamu
"mi naitwa Swaumu natokea hapa nyuma ya shetemba kwa Aunt angu bi maua"
"oooh kumbe bi maua aunt yako mnafanana kwa mbali na bi maua ila umefanana sana na yule mwanae alie olewa mwaka jana, basi napata picha nilikuona kwenye ile sherehe ya harusi yake unanikumbuka"
"no nilikua masomoni uganda last year ko sikuhuzulia mi ngoja niwahi nashukuru kukufahamu Imma"
"Basi mtakuwa mnafanana sana kwenye ukoo wenu ila hatuwezi tukakaa pale kwenye mgahawa tupate chochote au ndo unamuwahi shemeji"
"we mtoto ukae na mimi kwenye mgahawa utanambia nini na nguo zako hizo za serikali ulo vaa"
"kwani wakubwa ukikaanao wanakwambiaga nini huenda hujaujua utoto na utu uzima wangu, basi nipatie namba zako za simu tutazungumuza"
"unapo taka kunishika utaungua lakini poa andika"
Walipeana namba za simu na kisha Imma alielekea kwao. Alivyofika alimkuta baba yake mzee Bongo kamsubili kwa hamu maana ilikuwa tayari ni saa moja usiku na mabanda ya kuku hayajafanyiwa usafi. Mzee wake alikuwa ni mkoloni sana tangu atumbuliwe na hii kasi ya kazi tuu amekuwa na hasira kama ngiri. Alimcharaza mikwaju ya nguvu Imma kama mitano hivi na kumuamuru atekeleze kazi zake. Imma kama kawaida yake aliingia katika chumba cha binti wa kazi mtoto wa kirangi aliitwa faraja. Mida hiyo ya saa 5 wengine wakiwa wamelala Imma alikwenda kwa faraja kujipatia faraja ya siku. Asikwambie mtu kijana alikuwa fundi sana katika mchezo huo mtamu alimpindua na kuyanyonya maziwa ya faraja kwa usitadi mkubwa faraja hoi. Alijipakulia tani yake bila kukumbuka kuna neno kinga. Mechi ili faana siku hiyo kwa sababu kila mmoja alikuwa na hamu na mwenzie. Baada ya kumaliza mchezo huo unaopenda na wengi ghafula mwanga wa simu ukatokea na mtikisiko pia. Kuashiria message imeingia kwenye simu ya Imma akiwa kwenye maandalizi ya kuendelea na mechi. Alipata ujumbe ukisema "upo wapi mbona hatukuoni umesahau leo alihamisi" aliondoka chumbani kwa beki tatu na kurudi chumbani kwake kujiandaa na safari yake.....

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

MAMA VANESSA SEHEMU YA 16.