CHOZI LA USALITI[V]

Nilipo mtazama jovina hisia za upendo kwake zikawa kubwa, kumbe na yeye alikuwa amenipenda. Nilipokea maji yake kisha nikamwambia asante dada jovina kwa maji!Alijibu kwa tabasamu zuri na kwa heshima kuwa, Asante kushukuru! Jovina alionekana ni binti mwenye tabia nzuri sana na malezi bora! maana ata kipindi anaipatia maji aliinama chini na kupiga magoti.

Baba ake alipitiwa na mzee rafiki yake ili waende wanywe pombe maana baba jov pombe ilikuwa sehemu ya starehe yake kila ifikapo jioni. Baba jovina akasema mwalimu jisikie salama kabisa unaweza ukaingia ndani ukakaa salama bila tatizo, lakini mda ule Jovina alikuwa akinitazama kwa macho ya huruma na upendo sikuelewa nilijua labda macho yake tu;jovina alipo ona baba ake kaondoka akanikaribisha ndani maana ilikuwa tayali ni usiku; Nilimuuliza jovina kuwa; hivi mama ako yuko wapi? Alitoa machozi akalia sana akisema mama ake alifariki mwaka ulio pita, jovina alionyesha wazi kuwa alikuwa anampenda sana mama ake maana alilia sana mpaka nikawa na huruma sana kwake.

Jovina Aliniuliza natokea wapi nikamwambia kisha nikamuelezea sababu iliyo nifanya nilale kwao; jovina akasema usijali mwalimu kesho nitakusaidia kufanya japo usafi.Nilikuwa napenda sana maji hivyo baada ya kuongea nikamuomba tena Jovina aniletee maji ya kunywa.
jovina akasema sawa mwalimu naleta maji akiwa anachangamka sana kwenda kuniletea, Jovina aliamka haraka kufata maji bahati mbaya mguu wake wa kushoto akajikwaa, akaanguka chini dah; nilikuwa simuangalii anavyo toka kwenye kiti, ila nilisikia anaanguka kwa kishindo akapiga kelele! kisha akakaa kimya kwa mda kidogo! nikaogopa sana nikasema leo nasingiziwa nimeua umu ndani! maana nipo mimi mwenyewe ndani alafu mtoto wa mwenyekiti kafariki na mimi ndo mgeni nimekuja kufundisha;nilipo msogelea jovina kutazama hali yake uku nikiwa natetemeka!

Nilishangaa aliposema mwalimu jamani lala tumboni uninyooshe mgongo naisi nimeteguka nilivyo anguka! nilipo mkalia nilishangaa sana alivyo badilika macho akanivuta shingo kalibia na lips zake nikajisahau tukaanza kupeana busu za palepale;  kipindi namgeuza shingo vizuri, baba ake jovina alikuwa anakuja akatufumania ndani! Baba akasema mwalimu huku ndiyo kufundisha?

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

MAMA VANESSA SEHEMU YA 16.