Huyu Hapa Ndio Mrembo Ambaye Kachukua Akili ya Diamond Platnumz...Video Wakiwa Kitandani Yasambaa
Huu ndio Muonekano wa Kimnana katika pozi mbalimbali, mrembo huyu anadaiwa kutoka kimapenzi na Diamond!Video vixen Kimnana ni mrembo anayedaiwa kutoka kimapenzi kwa sasa na Rais wa WCB, Diamond Platnumz ingawa hakuna aliyewahi kuthibitisha hilo.
Jana Diamond alipost Clip ya Video akiwa na mwanamke akimshika kifua wakiwa kitandani, watafiti na wadakuz wakafumbua fumbo kuwa ni huyu Kim Nana
Comments
Post a Comment