Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya kwanza katika Maisha yake,kwa hiyo akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza alikuwa anataka kujua jinsi ya kumridhisha boyfriend wake,alikuwa anataka kujua mambo muhimu kwa sababu hana experience. aliuliza Jinsi ya kupeana Raha na Utamu bila Maumivu kwa kuwa yeye bado bikira,so jibu lake ndio hii Post yenyewe. Ingawa asilimia kubwa ya wanawake au wasichana,hupata maumivu pale wanapokuwa wanatolewa bikira zao,wapo ambao hawapati maumivu kabisa na pia wapo ambao hupata maumivu kidogo sana kulingana na hizo bikira wanatolewa na Mwanaume gani na huyo Mwanaume anajali(care) kiasi gani. Yapo Mambo ambayo ukifanya,kuna uwezekano mkubwa sana wa kutopata Maumivu wakati unatolewa bikira,na hata kama ukipata Maumivu basi yanakuwa ki...