Posts

Vijue Vyakula Hatari kwa Kupunguza Nguvu za Kiume

Image
Mbegu za Flax (Flax seeds):   Wanaume wanapaswa kufahamu aina ya vyakula ambavyo si rafiki kwao katika kuongeza kiwango cha homoni ya kiume iitwayo testosterone inayochochea sifa ya mwanaume yaani kuwa na nguvu za kiume. Baadhi ya vyakula visivyofaa kuliwa na mwanaume aliyetaka kuwa na nguvu za kiume ni vile vyenye asili ya homoni ya kike iitwayo estrogen. Hivyo sio kila vyakula vinafaa kwa mwanaume eti ilimradi tu vyakula hivyo vinasaidia kujenga mwili au kujaza tumbo wakati mtu akiwa na njaa. Vyakula visivyofaa kabisa kuliwa na mwanaume kutokana na vyakula hivyo kupunguza homoni ya testosterone ni hivi vifuatavyo: vyakula vinavyotengenezwa kutokana na unga wa mbegu za flax vimekuwa vikisifiwa kwa kuwa Omega-3 fats ambayo ni muhimu katika miili yetu. Hata hivyo mbegu za flax ni mbegu maarufu kwa kuwa na estrogen ambayo ni sawa kabisa na homoni ya estrogen iliyoko katika miili ya wanawake. Flax seeds zina kiwango cha phytoestrogens mara tatu zaidi ya soya. Kama bado unafikiria kula vya...

Kwa Upuuzi Huu Nitaendelea Kuwasifu Mahausigeli Wanaovunja Ndoa za Watu!

Kila siku na kila mahala ukipita au ukibahatika tu kukutana na akina Dada na akina Mama waliopo katika Ndoa au hata Mahusiano tu ' lawama ' zao kubwa ni kwa hawa Dada zetu wa Kazi nyumbani maarufu kama ' mabeki tatu ' kuwa wanashiriki kwa kiasi kikubwa sana katika kuwaharibia ' mahusiano ' yao kwa ' kubanduana ' na Wapendwa wao hasa Wachumba au Waume zao. Kinachonisikitisha na hata kunishangaza pia ni Kitendo cha hawa hawa Dada / Mama zetu wao kuelekeza tu ' lawama ' zao kwa ' mahausigeli ' pasipo hata wao wenyewe ' kujitathmini ' ni wapi huwa wanakosea kwani ' kimantiki ' haiwezekani Mahusiano yao au Ndoa zao ziharibiwe bila sababu ' maalum '. Katika chunguza chunguza yangu ya ' kutukuka ' kabisa ya kutaka kujua labda ' tatizo ' ni nini niliamua kulifuatilia ' kiumakini ' mno hili jambo na nikagundua mambo kadhaa ya ' kipuuzi ' ambayo Dada zetu walio katika Mahusiano au Mama zetu wa...

Mbinu za kumfikisha mwanamke mwenye makalio makubwa kileleni kwa haraka zaidi

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikut ana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue hata utamu huo ukoje (well u...

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 5

Nililia sana na kujilaumu kwa kitendo nilichokifanya cha kulala na baba yangu nilikosa raha kabisa nikaamka na kuelekea bafuni kuoga huku akilini mwangu nikiwaza kuwa endapo mama hatarudi kwa siku mbili hizi nitamfata hukohuko kwa mamdogo msasani. Wakati naoga nilisikia mlango wangu wa chumbani ukifunguliwa sikujua ni nani aliyeingia mimi niliendelea kuoga zangu. Na baada ya dakika kumi na tano nilitoka bafuni nikachukua taulo na kuanza kujifuta mwilini mwangu huku macho yangu yalielekea kwenye kitanda lakini cha ajabu kuna kitu kiliongezeka tofauti na laptop, simu na nguo chache nilivyoviasha pale. Kulikuwa na bunda la pesa noti za elfu kumi kumi nilitupa taulo pembeni na kusogea mpaka kitandani taratibu nilizinyanyua zile pesa huku natetemeka na kuanza kuhesabu zilikuwa takribani milioni moja na ishirini ni kile kiasi cha ada tunayolipa chuo ila imezidi laki nne na hapo chni kulikuwa na karatasi ilibidi nilinyanyue kwa mkono wa kulia baada ya zile pesa kuziamishia mkono wa kushoto. B...

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 4

"uuh baby nakojoaaaa aah honey jamani, dadie mbona upigi hodi? "wewe umetoka kwangu mimi nina haki ya kukujua mwanangu hakuna shida" Nilijitahidi kubana miguu ila tayari alikuwa ameshaona kila kitu na kweli nilikuwa nimeshajimwagia yani mapenzi haya. Nilimshuhudia dadie akivua nguo moja baada ya nyingine na kubakiwa na kufuri alinisogelea pale kitandani huku anaongea maneno anayoyajua yeye "yani huyu mwanaume anakutesa hvyo mwanangu kukupigisha punyeto na mimi sipendi mwanangu upate shda nikiwa hai baba yako nipe japo kidogo" alianza kunishka shika chuchu zangu huku nikijiandaa kumsukuma ili nikimbie ila chambulio lake la pili alienda moja kwa moja kwenye k*n* changu na kuanza kukichezea kama anapiga gita "jamani dadie niache please me siwezi kufanya hvyo ni laana" "aah mwanangu hakuna laana yeyote bwana hivi anapata hasara gani mtu aliyeupanda mti na ule mti ukakua na kutoa matunda je mwenye mti ana haki ya kula matunda yake? "dadie ni sawa...

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 3

kimya ulitawala pale ndani na kunipelekea nianze kufikiria uenda huyu dada wa kazi ametoka kwenda ama dukani au yupo anaoga au anapika jikoni. Nilianza kutembea taratibu nikaiasha sebure nikafungua mlango wa kuelekea vyumbani. Wakati huo nilisikia purukushani za watu huko jikoni yani kilio si kilio. Katika zile purukushani nilifanikiwa kugundua sauti mbili kwanza iliyokuwa inalalamika ilikuwa ya kike na huyo aliyekuwa anahema alikuwa mwanaume. Nilifungua ule mlango taratibu na moja kwa moja nilikutana na nyuso za watu wawili yani baba na mfanyakazi wa ndani, wote walinikodolea macho hata mimi nilikuwa nawashangaa kwa jinsi walivyokunjana yani wana miili mikubwa kuliko hata mimi ambye ni modo lakini waliweza kumudu ile shughuli huku jasho likiwatoka, nilijikuta nacheka tu "hahahaha haya bwana" kisha nikaondoka na kwenda chumbani kwangu. Wakati nimetoka huko nyuma zilitokea purukushani za ajabu kama mwizi aliyekimbizwa kwa masaa kadhaa huku nikisikia wakiongea wao wakidhani wan...

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 2

Nilisimama mlangoni nikawa nasikia mama akiongea hapohapo hisia zilinipeleka mbali. SONGA NAYO. "mdogo wangu rose umetembea nae, mama neema, wafanyakazi wa ndani wote waliokuja hapa umewapitia kwakweli bac clement sikubali kama unataka huyo mfanyakazi hawepo basi mimi naondoka" Kulalama kule kwa mama kulinifungua akili nakumbuka mama mdgo rose ameanza kukaa nyumbani tangu mdogo na amesomeshwa hapahapa lakini cha ajabu hataki hata kukanyaga nyumbani tangu haondoke kumbe inawezekana waligombana na mama. Na ki2 kingne kinanishangaza ni mama hapendi niwe karibu sana na baba nikapata jibu kumbe anaogopa nisitembee nae, nilijikuta namshangaa baba kwa jinsi alivyokuwa malaya kumbe rafiki za mama na ndgu zake wengi kisha wapitia na hili hali mama yangu ni mzuri mama wa watu na sijaona hata kasoro kwake kama kupenda baba anapendwa nilijikuta najisemea moyoni "mmh ngoja nikalale mimi mtoto sipaswi kuingilia mambo ya wakubwa" Nilipofika kitandani nililitafakari lile suala kwa ...

UTAMU WA MCHEZO SEHEMU YA 1

"wewe clementina ebu amka uendi chuo wewe?" "mama jamani naumwa" "mtoto mvivu wewe unaumwa unaumwa nini unaona shida kuamka ebu amka usaidie kazi uende chuo" "aah mama naamka lakini mama nilikwambia mwambie dadie alete mfanyakazi ila mbishi ona kazi zote unafanya peke yake" "una wazimu wewe upo mimi pia mfanyakazi tuna mtoto wa kulea ebu nitolee ujinga wako yani wewe huku utakapoolewa utawapa shida tu" "mmh mama tuyaashe naona unaenda mbali" "ndo uamke hapo" Nilijivuta kutoka kitandani nikachukua kanga yangu na kujifunga kiunoni kisha blauzi yangu nikaingia jikoni kucheki ustarahabu nikagundua mambo yote sawa nikarudi zangu chumbani angalau nikajisafishe huu mwili. "ooh mungu wangu saa tatu na robo! Aki ya mama hizi movie na internet vitaniua kila nikijitahdi kuwahi kulala saa tisa, nane, kumi ndo mida yangu" nilijikuta naropoka baada ya kuangalia simu yangu, hapo chuo saa nne kipindi cha kwanza CBE. "...

Sababu 5 kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata tabu ya kupata mapenzi ya kweli

Image
Akili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu kuwa nacho, lakini wakati mwingine kinaweza kuwatisha wengine. Pengine ndio maana watu wenye akili nyingi hupata shida ya kupata pendo. Kama unajiuliza kwanini bado upo single, hizi ni sababu tano kwanini unaweza ukawa unapata shida kupendwa. 1. Unakuwa mchambuzi mno Wasichana wenye akili mara nyingi huchambua sana vitu. Huwa na shaka na kesho yao, njia nzuri za kuimarisha mahaba, na wanataka sana kumpata mtu sahihi. Hiki hata hivyo sio kitu kibaya. 2. Unajua ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mwenza asiye sahihi Na hakuna tatizo katika hilo pia. Watu wenye akili wako makini katika kumpata mwenza sahihi ambapo wanaweza kuamua kubaki wenyewe kama asipopatikana. 3. Unajua kuwa mahusiano mara nyingi hufa Hawa hujua ukweli unaouma kuwa mahusiano mengi hayafiki popote. Matokeo yake, wakati mwingi...

Ukiona Haya Kwa Mkeo Kuwa Dikteta Haraka la Sivyo....

Image
Kama mkeo anasali kwa walokole au amehamia kusali kwa walokole ndugu yangu hakikisha unamdhibiti sana na mapema kabla hajaharibiwa asali akiwa anajitambua Wachungaji wa Kilokole(wanajiita manabii) kwa sababu sadaka inayotolewa kanisani huwa ni ya kwao(tofauti na Roma na Sabato ambako sadaka inapelekewa uongozi wa juu) Basi kipato cha wachungaji hawa hutegemea waumini zaidi katika utoaji wa sadaka zao. Asilimia kubwa wamekuwa wakiwatumia wanawake kwa sababu ni wepesi kuhadaika! Mke wako anajazwa upepo wa kiimani na kufikia kuwa na mapenzi na imani yaliyopitiliza mipaka! Ukianza kuona mkeo anabadilika taratibu ndani maombi ya kukemea yanazidi,muda wa kanisani unazidi na matoleo yanazidi kule kanisani ndugu tangu kuwa dikteta ghafla na hata ikiwezekana mzuie kama hawez kusali kawaida tu kwa kumtegemea mungu aache tu Ukipuuzia jiandae kwa mkeo kutumia kipato chake chote kanisani/ mkeo kutumia robo tatu ya muda wake wote kanisani( kukesha na kila weekend kushinda wakimsaidia nabii wao kazi)...

Hizi ndio sababu 5 zinazowafanya wanaume kwa sasa kupenda tendo la ndoa kwanza na sio kuoa

Image
Wanawake wengi kwa sasa wanalalamika namna wanaume walivyo kwenye mahusiano, wanasema wanaume wamepoteza moyo wa dhati wa kuwepo wenye mahusiano yaani “commitment”, wanaonekana kama hawana mapenzi tena, wao kila siku ni kuuliza tu tendo la ndoa, na kama halipati basi anaweza kuondoka muda wowote kuelekea huko anakolipata tendo hilo. Hali hii inasumbua mahusiano mengi ya uchumba na wengine wamelazimika kuvunja uchumba, wakiwa karibia kuingia kwenye ndoa. Wanawake hawa wanalalamika wakisema wako wapi wale wanaume wenye kiu ya ndoa? Wako wapi wale wanaume wenye kuongelea kutaka kuoa na kuanza familia na kuwapenda watoto wao? Wako wapi wale wanaume wenye kiu ya mafanikio na kudumisha maisha pamoja na wake zao, mbona kama wamemalizika na waliobaki wana kiu za kula bata tu “kufanya starehe” na kufanya mapenzi pasipo kumaanisha. Yamkini na wewe unayesoma makala hii unajiuliza maswali haya pia. Wanawake wengine wamekuwa wakieleza kuwa wanaume waliobaki siku hizi ni wavivu, hawana hamasa ya mae...

Hivi Kwanini Wanawake wa Kilokole Wengi Wana Roho Mbaya?

Image
Habarini wadau, Hili nina ushahidi nalo, wengi wao nimegundua wana roho mbaya kwakweli na nina mifano mingi tu. Yaani hao huwa wanaona kama watu wengine wasio walokole ni waovu tu. Niliwahi kushauriwa kuwa ni bora umuoe msichana aliyecharuka na kupitia starehe zote za dunia akatulia kuliko anayejiita mlokole namimi sasa naamini ule ushauri ni mzuri. Naamini wapo wanawake wacha Mungu kweli ila wapo neutral kama hawa waroman catholic na walutheri na huwa hawajikuti sana na kujiona watakatifu kama walokole. Mabinti wa kilokole mbona mpo hivyo? Au ni stresses za makanisani kwenu?

Faida za Kufanya Mapenzi Mara Nyingi Hizi Hapa...

Image
Watafiti wa Kizungu wanakesha kufanya tafiti chungu mzima na zingine majibu yake zinaweza kukuacha mdomo wazi. Kwa mfano huu – jamaa eti wamebaini kuwa kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kunaongeza imani ya kiroho na hata imani kwa Mungu! Makubwa.. Kwa mujibu wa utafiti, tendo la ndoa hutoa homoni ya upendo iitwayo oxytocin ambayo haiishi tu kutengeneza ukaribu wa kijamii bali pia imani ya Mungu – hususan kwa wanaume. Watafiti katika chuo kikuu cha Duke cha North Carolina, wanasema kuwa tendo hilo huhamasisha imani – ama kuongeza imani katika Mungu na dini. Utafiti huo umeliochapishwa mwishoni mwa wiki unaangalia homoni ya oxytocin ambayo huamshwa zaidi wakati wa kufanya mapenzi, wakati wa kuzaa na wakati wa kunyonyesha.

KAZI ipo! Atakae Muoa Mrembo Sanchi Ajipange

Image
KAZI ipo! Mwanamitindo ambaye jina lake limezidi kupaa kutokana na umbo lake tata, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema kuwa mwanaume ambaye atampenda na kumuoa lazima ajipange kisawasawa. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Sanchi alisema kazi yake ya unamitindo imemfanya kupata dili kubwa kwenye kampuni ya nguo za ndani ya Sedative hivyo ataendelea kupiga picha zinazoacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake, kwa hiyo mwanaume huyo ajiandae kwa changamoto hiyo. “Sidhani kama nikiolewa nitaacha kupiga picha za aina hiyo kwa sababu ni kwa ajili biashara hivyo kama ni mume, inabidi anivumilie na ajifanye kufumba macho,” alisema Sanchi ambaye kila kukicha anaachia picha tata za kuacha watu midomo wazi.

Wadada Yule Ambae Humtaki Ndio Mumeo..Mnapoteza Bahati Kwa Kutaka Mabishoo

Image
Yule ambae humtaki ndio mumeo Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka. Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango. Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini . Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja. Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa. Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi. Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda il...

WAKUBWA TU 18+: Muigizaji wa filamu Nigeria, Etinosa amuonesha sehemu za siri MC Galaxy akiwa live Instagram (video)

Image
Msanii wa muziki nchini Nigeria, MC Galaxy amejikuta akiambulia lawama nchini Nigeria baada ya kuacha kukatisha video akiwa Live kwenye mtandao wa Instagram huku muigizaji wa filamu na mchekeshaji maarufu nchini humo, Etinosa Idemudia akionesha sehemu zake za siri. MC Galaxy Mwanadada huyo alimkuta MC Galaxy akiwa Live kwenye mtandao huo akiongea na mashabiki wake na ndipo alipoanza kumwambia kuwa anataka kumuonesha sehemu zake nyeti. Etinosa Idemudia ambaye kwenye video alionekana akiwa amelewa huku akiwa na glasi ya bia, alianza kusema “mimi kwa sasa nimechanganywa na mpenzi wangu nimemwambia aondoke chumbani kwangu hataki, sasa nataka MC Galaxy nikuoneshe sehemu zangu za siri kama hataki kutoka chumbani kwangu shauri yake”. Etinosa Idemudia Ameeleza mrembo huyo na kuanza kuchojoa nguo zake kuanzia kifuani hadi kwenye sehemu za siri, huku akionesha kwa kamera ya simu. Wakati akifanya kitendo hicho, alikuwa akilalamika kuwa wanaume wengi wa Nigeria ni wasaliti na hawajui uzuri wa wana...

Mume apewa talaka kwa kujifanya kiziwi kwa miaka 62 akwepa kusikia maneno ya mkewe

Image
Mwanaume mmoja kutoka Marekani amepewa talaka na mke wake mara baada ya kuigiza kuwa kiziwi kwa muda wa miaka 62 akidai kujizuia kumsikiliza mkewe. Barry Dawson mwenye umri wa miaka 84 hakuwahi kuongea neno lolote mbele ya mke wake Dorothy mwenye umri wa miaka 80 kwa kipindi chote walichoishi pamoja akidai kuwa amefanya hivyo kuilinda ndoa yake iliyodumu kwa miaka 62 hadi sasa. Na mke wake amekuwa akiwasiliana nae kwa lugha ya ishara na vitendo, japokuwa bado imekuwa vigumu sana kwa wawili hao kuelewana. ‘Imenichukua miaka miwili kujifunza kuwasiliana kwa kutumia mikono, na mara baada ya kufahamu lugha hiyo, alianza kupata matatizo ya kuona. Bado nafikiri hata hilo alikuwa akijifanyisha tu” amesema Dorothy mke wa Barry. Wanandoa hao walifanikiwa kupata watoto 6 pamoja na wajukuu 13, ambao pia waliaminishwa kuwa Mr.Dawson ana ulemavu wa kusikia.  ”Wakati akiwa nyumbani mara zote Mr.Dawson amekuwa akijifaya kiziwi, na siku niliyombamba ni siku ambayo niliona video yake you tube akiwa ana...

Mwanaume Epuka Kufanya Mapenzi Katika Hali na Mazingira Haya...!!!

Image
Kumekuwa na wimbo wenye vilio kwa wanaume kuwa hawana nguvu za kiume huku wengne wakiishia kagoli kamoja. Lazima ujue kuwa ngono ni kuwa na hapetaiti au ashki ikiwa apetaiti yako ipo juu basi ni rahisi kukinahiwa haraka hivyo uangalifu unahitajika. Ashki humalizwa na mambo mbalimbali na ni vizuri kuyafahamu ili usije kumbwela juu ya kifua cha mwandani wako. Mambo ya kuepuka wakati unataka kufanya ngono; 1. Mazingira ya joto Pafomansi ya kufanyia kwenye chumba chenye joto huwa hairidhishi. Mwili huwahi kupata moto na kupoteza hamu haraka. 2. Usifanye mapenzi tumbo likiwa tupu. Kama unanjaa au unamuda mrefu tokea ule labda masaa kuanzia manne kuendelea basi usijefanya mapenzi kwani ukijitahidi utapiga vibao viwili tuu vya uchovu. Utafiti huo ni kwa hisani ya kiumeni, nikiwa yamenikuta hayo kwa zaidi ya wanawake saba tofauti tofauti nikajikuta nikiambulia fedheha.

Jinsi ya Kumjibu Mpenzi Anapouliza ‘Unanipenda Kiasi Gani?..!!!’

Image
Wana jopo, karibuni kwenye jamvi letu jipya lililotandikwa kwenye kona maridhawa ya mapenzi. Hii ni kona iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya kujuzana mambo mawili matatu kuhusu masuala ya mahusiano ya mapenzi ambayo ‘yanafanya dunia izunguke’ bila sisi kujua tunazunguka nayo. Wapo waliowahi kusema mapenzi ni ‘ukichaa’ kwa sababu kila wakitafakari baadhi ya matukio waliyoyafanya kutokana tu na kupenda wanaamini hawakuwa katika hali ya kawaida kiakili! Lakini wapo wanaoamini hakuna hisia nzuri na zenye busara iliyopitiliza kama hisia za mapenzi ambazo hazifichiki hata akipewa ‘bingwa wa kuficha siri za dunia’. Anyways, tuweke kando hizo blabla… leo tuangazie swali ambalo karibu kila mmoja aliwahi kuuliza ama kuulizwa na mpenzi wake au hata mtu anayemshawishi kuwa mchumba. “Baby, unanipenda kiasi gani?” ni swali la mtihani ambao ulishavuja karibu kwa kila mtu, lakini hata anayeliuliza huwa hajui majibu. Hivyo, wa kuliwekea alama hutegemea tu kile anachosikia, hata kama sio sahihi anaweza ku...

NGONO KABLA YA NDOA

Image
Siku hizi ngono kabla ya ndoa hutazamwa na vijana wengi kama jambo la kawaida.Vijana wa kike na wa kiume hawahisi hatia yoyote ya kuwa na uhusiano wa kingono katika umri mdogo. Kwa kufanya hivi vijana hupoteza mwelekeo kwa kuishi kiholela bila ya kuwa na mwongozo unaongoza maisha yenye mafanikio sasa na baadaye. Uwezo, fursa na bahati ya vijana kwa ajili ya maisha bora hupotea bure. Vijana hufikiria kuwa ngono ndilo jibu na ufumbuzi wa hali ngumu wanayokabiliana nayo wakati wa balehe na kupevuka. Wengi wao hupungukiwa uwezo wa kutabili nini kitatokea baadaye kama matokeo ya ngono kabla ya ndoa. Wasichana wanaojiingiza katika mahusiano ya kingono kabla ya ndoa na katika umri mdogo huweka rehani uaminifu, afya na uvumilivu wao wa hisia kuhusu mahusiano ya kingono wakati watakapo ingia ndani ya ndoa hapo baadaye.Vijana wengi hawaelewi kuwa ngono haramu huzaa wivu, tuhuma mbaya na majanga ya kijamii. Hufanya mwenzi kumfikiria msichana kuwa ana udhaifu wa kimaadili na hali hii hutia alama k...