Posts

MAMA VANESSA SEHEMU YA 11

Lucas na yeye hakutaka kufanya makosa alipeleka mdomo wake kwenye kinywa cha mama Vanessa. Alimbusu na kurudisha. Hakuwa na uhakika wa moja kwa moja kwani huyo mwanamke mke wa boss wake ameamua kujiachia na kuonesha yupo tayari kwa lolote. Kwa jinsi alivyokuwa mwanamke wa gharama isingekuwa rahisi hivyo kukubali kukutana na mtu wa chini kama Lucas. “Nataka kuogelea”mama Vanessa aliropoka mara baaada ya kuangalia kwa muda mrefu maji ya ziwa na jinsi ambavyo watu walikuwa wakiogelea pembezoni mwa kisiwa hicho. Lucas alitafakari kidogo na kumwambia hasiwe na hofu ngoja akachukue boti ya mwendo kasi. “Wewe mimi boti naogopa” “Usiogope upo na mimi” Lucas alijibu huku akiondoka na kuelekea sehemu ambapo viboti hivyo vilikuwepo. Hakuwa na wasiwasi maana haikuwa mara yake ya kwanza kula bata eneo hilo.Hili kumuondoa hofu mama Vanessa, Lucas alilipanda kishakuingia ziwani. Aliweza kuliendesha kwa madaha huku akikata mwaimbi ya ziwa mpaka sehemu za mbali kidogo. Alifanya mbwembwe zote kuonesha y...

MAMA VANESSA. SEHEMU YA 10.

“Usijali mpenzi najua unaweza kuchanganyikiwa kwa majanga yaliyokukuta mke anauma sana na pengine kuliko kitu kingine chochote. Cha msingi kwa sasa usipende kukaa mwenyewe kuwa na marafiki watakusaidia sana” “Asante sana Juliana kwa kuendelea kuwa karibu nami.Naamini pia katika ushauri wako, Wewe ni mwanamke mwenye akili ubarikiwe kwa ukarimu na ushauri. “Mungu yu mwema naomba niwe karibu yako nahitaji kukupa faraja kwa muda wowote. Naamini kuwa naiweza hiyo kazi naomba nikupe faraja kwa kiwango cha kukufanya usahau shida kwa muda. “Nashukuru sana Juliana kazi hiyo nimeshakupa na endelea kuifanya kwa umakini zaidi.” Waliongea mengi na Lucas alimwaidi mrembo huyo kuwa wikiendi Mungu ikijalia ataenda tena Mwanza ili waweze kuwa pamoja. Jambo ambalo Lucas hakulijua ni kwamba Juliana alikuwa amepewa kazi hiyo ya kumpa faraja akishirikiana na Julieth kwa shinikizo la mpenzi wake Kimaro. Kulikuwa na ukaribu mkumbwa uliofanywa ili angalau Lucas hasione kuwa dunia ilikuwa imemtenga. Lucas akas...

MAMA VANESSA SEHEMU YA TISA

Yaani alijikuta akianza kutetemeka bila yeye kupenda. Hukujua kwa nini mkewe alikuwa akimpigia wakati huo. Alishindwa kabisa kuamini kama mkewe ambaye alikuwa hapatikani takribani wiki mbili sasa ndo huyo alikuwa akimtafuta. Alisita kuipokea na aliiacha maana tayari hasira zilikuwa zimempanda kupita kiasi.Baada ya yeye kukataa kupokea simu kwa hiyari yake kuna sms iliingia. “Kwa mjinga huenda kicheko kwa mwelevu huenda kilio.Nashukuru kwa kutopokea simu yangu. Ila tambua mimi ni mke wako wa ndoa na hakuna cha kututenganisha.” Lucas alirudia kuisoma ile SMS na kujikuta akizidi kuchanganyikiwa maana maisha yalikuwa yakimchanganya kwa kiasi kikumbwa.Alitamani hata kulia lakini alilia machozi yaliyoishia ndani ya moyo wake. Kijasho chembamba kilimtoka na kujikuta akiwasha feni ili hewa iiingie. Bado hakupata hafueni na akaamua kutoka nje kabisa. Alikuwa kifua wazi huku akitamani hata kunywa pombe. Alikaa hapo kwenye kibaraza cha nyumba. Mawazo ya uchngu yalizidi kuunyanyasa ubongo wake. Mo...

MAMA VANESSA SEHEMU YA NANE

Katika kitu ambacho Lucas huwa kinamnyima raha ni kuona mwanamke akilia mbele yake. Yaani yeye mwanamke akijilIza basi huwa anamwamini kupita kiasi. Alimbembeleza mpaka Mama Vanesa akanyamaza. Kwikwi zilimkaba sana na alikuwa akiona kabisa kijana huyo ameonewa. Mwanzo hakuwa na ushahidi wa moja kwa moja lakini zile picha zinazomuonesha mme wake akiwa na mke wa Lucas zilimuuma kupita maelezo. “Kwa hiyo haya yote yametokea nini sasa kifanyike” Lucas alihoji mara baada ya mama huyo kubembelezwa na kurudi katika hali yake ya kawaida. “Ndo maana nimekuita hapa ili tupange mambo na ikibidi tumkomeshe” “Wewe unataka tumfanyeje hili hali yeye ni boss mwenye fedha. Nikikuruka na kujifanya mjuaji sana ndo nafutwa kazi kabisa.” “Siku zote usikubali kupoteza haki yako kisa kuogopa kufukuzwa kazi. Usikubali kunyang’anywa mke au hata uhuru wako kisa pesa. Nakuambia tukiungana mimi na wewe tutafanikiwa kwa hili. Dawa ya moto ni moto na hivi tunaushahidi, hiyo kazi huwezi kufukuzwa. Mimi ndo Emmy hilo...

MAMA VANESSA SEHEMU YA SABA

ILIPOISHIA Mishel alikuwa mwenyewe na hata yeye alionekna kushangaa sana hakutegemea kama atakutana na Lucas tena akiwa amemshika mkono mwanamke kama vile walikuwa wapenzi. Mlango wa kuingilia uligeuka kuwa mdogo… ENDELEA Kila mtu alaimwangalia mwenzake kwa jicho baya. Jicho la kutaka hata kurusha konde kwa mwenziye. Lucas kwa kuwa jana alikasirishwa sana na kitendo cha kumuona mwanamke huyo akiwa na boss wake hakuamua kumsemesha zaidi alimpisha na kupigahatua kuelkea ndani. Kimraro alikuw aakieelewa kilichokuwa kinaendelea. Walienda kukaa huku Juliana akiwa dilemma hasijue ni nini kilikuwa kikiendelea. Alikuwa na maswali mengi kchwai mwanamke huyo ni nani na mpka azuie msafara kwa muda. “Mpenzi mimi sijaelewa Yule mwanamke ni nani na mbona kila mtu alishtuka”Julieth alihoji. “Jamani mpenzi mbona unpoteza kumbukumbu kirahisi hivyo huyu si ndo mke wa Lucas na hata jana si ndo huyu nilienda kumpigia simu”.Kimaro alijibu. “Ohhh jamani kumbe ndo mzuri hivyo.. Pole shemeji yangu wacha tu up...

MAMA VANESSA SEHEMU YA SITA

ILIPOISHIA Kumbe pipi ikiliwa bila maganda huwa tamu hivyo kila mmoja aliwaza moyoni mwake. Walipeana mambo na sasa walisahau kuwa kulikuwa na kitu kinachoitwa ukimwi huko duniani. Walifanya kwa staili zote na kweli walifanikisha dhamira yao ya kusahau shida kwa muda. Hakuna aliyejua nini kiliendelea maana walikuja kushituka ilikuwa ni asubuhi.. ENDELEA Lucas akawa anajinyanyua ili aweze kwenda kuoga. Bila kutarajia mwanamke huyo alimshika mkono mara baada ya kuona anajifunga taulo. Juliana alikuwa akijiamini sana na hakutaka kuzikosa raha za asubuhi. Tangia aanze harakati za kushiriki tendo la ndoa huwa anapenda sana mapenzi ya asubuhi kwa kuwa yanampa raha sana kuliko hata ya usiku. Alimvuta kwa nguvu akaangukia kwenye kifua chake. Haikuhitaji elimu ya chuo kikuu kujua kuwa binti huyo alikuwa akitaka kutoka jasho asubuhi hiyo. Walianza tena kutafuta mizuka ya kushiriki hicho ambacho walikitamani. Lucas alishangaa kuona kuwa joto la binti huyo likiwa juu sana. Joto hilo liliamsha hama...

MAMA VANESSA SEHEMU YA TANO

ILIPOISHIA “Ndio” Lucas alijibu na kumsogelea tena. Akili yake ilishachafukwa hakutaka majibizano tena bali vitendo.Bingilibingili walianza kubingilizana hapo kitandani EDELEA Juliana kama walivyo ingawa na yeye alikuwa akitaka kushiriki mchezo huo lakini alikuwa makini sana ili hasije kuonesha kuwa alikuwa ni Malaya. Lucas alikuwa mjanja sana maana aliangaika na viungo ambavyo vilikuwa vinamsisimo kila Julaina alipoguswa. Juliana hakuwa na ujanja tena zaidi ya kugugumia kwa sauti za huba. Huku kule pembeni kati waliendelea kuonesha ufundi wa kupapasa bila kutulia. Ukumbwa wa matikiti ya Juliana ulimfanya Lucas Manyama kubaki hapo kwa muda. Matikiti maji haya yalimvutia sana. Mikono laini pia ya mlimbwende huyo ilikuwa ikiperuzi na kudadisi kwenye mgongo wa Lucas. Lucas alipojirizisha kuwa ameshamchezea mlimbwende huyo na amenyegeka vya kutosha alimua kumwacha ili atafute kinga. Jamabo hili lilifanya Juliana kupoteza mzuka maana ni miongoni mwa wanawake wachache ambao huwa hawapendi ku...