Posts

Showing posts from March, 2019

Sababu 5 kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata tabu ya kupata mapenzi ya kweli

Image
Akili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu kuwa nacho, lakini wakati mwingine kinaweza kuwatisha wengine. Pengine ndio maana watu wenye akili nyingi hupata shida ya kupata pendo. Kama unajiuliza kwanini bado upo single, hizi ni sababu tano kwanini unaweza ukawa unapata shida kupendwa. 1. Unakuwa mchambuzi mno Wasichana wenye akili mara nyingi huchambua sana vitu. Huwa na shaka na kesho yao, njia nzuri za kuimarisha mahaba, na wanataka sana kumpata mtu sahihi. Hiki hata hivyo sio kitu kibaya. 2. Unajua ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mwenza asiye sahihi Na hakuna tatizo katika hilo pia. Watu wenye akili wako makini katika kumpata mwenza sahihi ambapo wanaweza kuamua kubaki wenyewe kama asipopatikana. 3. Unajua kuwa mahusiano mara nyingi hufa Hawa hujua ukweli unaouma kuwa mahusiano mengi hayafiki popote. Matokeo yake, wakati mwingi...

Ukiona Haya Kwa Mkeo Kuwa Dikteta Haraka la Sivyo....

Image
Kama mkeo anasali kwa walokole au amehamia kusali kwa walokole ndugu yangu hakikisha unamdhibiti sana na mapema kabla hajaharibiwa asali akiwa anajitambua Wachungaji wa Kilokole(wanajiita manabii) kwa sababu sadaka inayotolewa kanisani huwa ni ya kwao(tofauti na Roma na Sabato ambako sadaka inapelekewa uongozi wa juu) Basi kipato cha wachungaji hawa hutegemea waumini zaidi katika utoaji wa sadaka zao. Asilimia kubwa wamekuwa wakiwatumia wanawake kwa sababu ni wepesi kuhadaika! Mke wako anajazwa upepo wa kiimani na kufikia kuwa na mapenzi na imani yaliyopitiliza mipaka! Ukianza kuona mkeo anabadilika taratibu ndani maombi ya kukemea yanazidi,muda wa kanisani unazidi na matoleo yanazidi kule kanisani ndugu tangu kuwa dikteta ghafla na hata ikiwezekana mzuie kama hawez kusali kawaida tu kwa kumtegemea mungu aache tu Ukipuuzia jiandae kwa mkeo kutumia kipato chake chote kanisani/ mkeo kutumia robo tatu ya muda wake wote kanisani( kukesha na kila weekend kushinda wakimsaidia nabii wao kazi)...

Hizi ndio sababu 5 zinazowafanya wanaume kwa sasa kupenda tendo la ndoa kwanza na sio kuoa

Image
Wanawake wengi kwa sasa wanalalamika namna wanaume walivyo kwenye mahusiano, wanasema wanaume wamepoteza moyo wa dhati wa kuwepo wenye mahusiano yaani “commitment”, wanaonekana kama hawana mapenzi tena, wao kila siku ni kuuliza tu tendo la ndoa, na kama halipati basi anaweza kuondoka muda wowote kuelekea huko anakolipata tendo hilo. Hali hii inasumbua mahusiano mengi ya uchumba na wengine wamelazimika kuvunja uchumba, wakiwa karibia kuingia kwenye ndoa. Wanawake hawa wanalalamika wakisema wako wapi wale wanaume wenye kiu ya ndoa? Wako wapi wale wanaume wenye kuongelea kutaka kuoa na kuanza familia na kuwapenda watoto wao? Wako wapi wale wanaume wenye kiu ya mafanikio na kudumisha maisha pamoja na wake zao, mbona kama wamemalizika na waliobaki wana kiu za kula bata tu “kufanya starehe” na kufanya mapenzi pasipo kumaanisha. Yamkini na wewe unayesoma makala hii unajiuliza maswali haya pia. Wanawake wengine wamekuwa wakieleza kuwa wanaume waliobaki siku hizi ni wavivu, hawana hamasa ya mae...

Hivi Kwanini Wanawake wa Kilokole Wengi Wana Roho Mbaya?

Image
Habarini wadau, Hili nina ushahidi nalo, wengi wao nimegundua wana roho mbaya kwakweli na nina mifano mingi tu. Yaani hao huwa wanaona kama watu wengine wasio walokole ni waovu tu. Niliwahi kushauriwa kuwa ni bora umuoe msichana aliyecharuka na kupitia starehe zote za dunia akatulia kuliko anayejiita mlokole namimi sasa naamini ule ushauri ni mzuri. Naamini wapo wanawake wacha Mungu kweli ila wapo neutral kama hawa waroman catholic na walutheri na huwa hawajikuti sana na kujiona watakatifu kama walokole. Mabinti wa kilokole mbona mpo hivyo? Au ni stresses za makanisani kwenu?

Faida za Kufanya Mapenzi Mara Nyingi Hizi Hapa...

Image
Watafiti wa Kizungu wanakesha kufanya tafiti chungu mzima na zingine majibu yake zinaweza kukuacha mdomo wazi. Kwa mfano huu – jamaa eti wamebaini kuwa kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kunaongeza imani ya kiroho na hata imani kwa Mungu! Makubwa.. Kwa mujibu wa utafiti, tendo la ndoa hutoa homoni ya upendo iitwayo oxytocin ambayo haiishi tu kutengeneza ukaribu wa kijamii bali pia imani ya Mungu – hususan kwa wanaume. Watafiti katika chuo kikuu cha Duke cha North Carolina, wanasema kuwa tendo hilo huhamasisha imani – ama kuongeza imani katika Mungu na dini. Utafiti huo umeliochapishwa mwishoni mwa wiki unaangalia homoni ya oxytocin ambayo huamshwa zaidi wakati wa kufanya mapenzi, wakati wa kuzaa na wakati wa kunyonyesha.

KAZI ipo! Atakae Muoa Mrembo Sanchi Ajipange

Image
KAZI ipo! Mwanamitindo ambaye jina lake limezidi kupaa kutokana na umbo lake tata, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema kuwa mwanaume ambaye atampenda na kumuoa lazima ajipange kisawasawa. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Sanchi alisema kazi yake ya unamitindo imemfanya kupata dili kubwa kwenye kampuni ya nguo za ndani ya Sedative hivyo ataendelea kupiga picha zinazoacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake, kwa hiyo mwanaume huyo ajiandae kwa changamoto hiyo. “Sidhani kama nikiolewa nitaacha kupiga picha za aina hiyo kwa sababu ni kwa ajili biashara hivyo kama ni mume, inabidi anivumilie na ajifanye kufumba macho,” alisema Sanchi ambaye kila kukicha anaachia picha tata za kuacha watu midomo wazi.

Wadada Yule Ambae Humtaki Ndio Mumeo..Mnapoteza Bahati Kwa Kutaka Mabishoo

Image
Yule ambae humtaki ndio mumeo Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka. Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango. Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini . Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja. Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa. Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi. Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda il...

WAKUBWA TU 18+: Muigizaji wa filamu Nigeria, Etinosa amuonesha sehemu za siri MC Galaxy akiwa live Instagram (video)

Image
Msanii wa muziki nchini Nigeria, MC Galaxy amejikuta akiambulia lawama nchini Nigeria baada ya kuacha kukatisha video akiwa Live kwenye mtandao wa Instagram huku muigizaji wa filamu na mchekeshaji maarufu nchini humo, Etinosa Idemudia akionesha sehemu zake za siri. MC Galaxy Mwanadada huyo alimkuta MC Galaxy akiwa Live kwenye mtandao huo akiongea na mashabiki wake na ndipo alipoanza kumwambia kuwa anataka kumuonesha sehemu zake nyeti. Etinosa Idemudia ambaye kwenye video alionekana akiwa amelewa huku akiwa na glasi ya bia, alianza kusema “mimi kwa sasa nimechanganywa na mpenzi wangu nimemwambia aondoke chumbani kwangu hataki, sasa nataka MC Galaxy nikuoneshe sehemu zangu za siri kama hataki kutoka chumbani kwangu shauri yake”. Etinosa Idemudia Ameeleza mrembo huyo na kuanza kuchojoa nguo zake kuanzia kifuani hadi kwenye sehemu za siri, huku akionesha kwa kamera ya simu. Wakati akifanya kitendo hicho, alikuwa akilalamika kuwa wanaume wengi wa Nigeria ni wasaliti na hawajui uzuri wa wana...

Mume apewa talaka kwa kujifanya kiziwi kwa miaka 62 akwepa kusikia maneno ya mkewe

Image
Mwanaume mmoja kutoka Marekani amepewa talaka na mke wake mara baada ya kuigiza kuwa kiziwi kwa muda wa miaka 62 akidai kujizuia kumsikiliza mkewe. Barry Dawson mwenye umri wa miaka 84 hakuwahi kuongea neno lolote mbele ya mke wake Dorothy mwenye umri wa miaka 80 kwa kipindi chote walichoishi pamoja akidai kuwa amefanya hivyo kuilinda ndoa yake iliyodumu kwa miaka 62 hadi sasa. Na mke wake amekuwa akiwasiliana nae kwa lugha ya ishara na vitendo, japokuwa bado imekuwa vigumu sana kwa wawili hao kuelewana. ‘Imenichukua miaka miwili kujifunza kuwasiliana kwa kutumia mikono, na mara baada ya kufahamu lugha hiyo, alianza kupata matatizo ya kuona. Bado nafikiri hata hilo alikuwa akijifanyisha tu” amesema Dorothy mke wa Barry. Wanandoa hao walifanikiwa kupata watoto 6 pamoja na wajukuu 13, ambao pia waliaminishwa kuwa Mr.Dawson ana ulemavu wa kusikia.  ”Wakati akiwa nyumbani mara zote Mr.Dawson amekuwa akijifaya kiziwi, na siku niliyombamba ni siku ambayo niliona video yake you tube akiwa ana...

Mwanaume Epuka Kufanya Mapenzi Katika Hali na Mazingira Haya...!!!

Image
Kumekuwa na wimbo wenye vilio kwa wanaume kuwa hawana nguvu za kiume huku wengne wakiishia kagoli kamoja. Lazima ujue kuwa ngono ni kuwa na hapetaiti au ashki ikiwa apetaiti yako ipo juu basi ni rahisi kukinahiwa haraka hivyo uangalifu unahitajika. Ashki humalizwa na mambo mbalimbali na ni vizuri kuyafahamu ili usije kumbwela juu ya kifua cha mwandani wako. Mambo ya kuepuka wakati unataka kufanya ngono; 1. Mazingira ya joto Pafomansi ya kufanyia kwenye chumba chenye joto huwa hairidhishi. Mwili huwahi kupata moto na kupoteza hamu haraka. 2. Usifanye mapenzi tumbo likiwa tupu. Kama unanjaa au unamuda mrefu tokea ule labda masaa kuanzia manne kuendelea basi usijefanya mapenzi kwani ukijitahidi utapiga vibao viwili tuu vya uchovu. Utafiti huo ni kwa hisani ya kiumeni, nikiwa yamenikuta hayo kwa zaidi ya wanawake saba tofauti tofauti nikajikuta nikiambulia fedheha.

Jinsi ya Kumjibu Mpenzi Anapouliza ‘Unanipenda Kiasi Gani?..!!!’

Image
Wana jopo, karibuni kwenye jamvi letu jipya lililotandikwa kwenye kona maridhawa ya mapenzi. Hii ni kona iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya kujuzana mambo mawili matatu kuhusu masuala ya mahusiano ya mapenzi ambayo ‘yanafanya dunia izunguke’ bila sisi kujua tunazunguka nayo. Wapo waliowahi kusema mapenzi ni ‘ukichaa’ kwa sababu kila wakitafakari baadhi ya matukio waliyoyafanya kutokana tu na kupenda wanaamini hawakuwa katika hali ya kawaida kiakili! Lakini wapo wanaoamini hakuna hisia nzuri na zenye busara iliyopitiliza kama hisia za mapenzi ambazo hazifichiki hata akipewa ‘bingwa wa kuficha siri za dunia’. Anyways, tuweke kando hizo blabla… leo tuangazie swali ambalo karibu kila mmoja aliwahi kuuliza ama kuulizwa na mpenzi wake au hata mtu anayemshawishi kuwa mchumba. “Baby, unanipenda kiasi gani?” ni swali la mtihani ambao ulishavuja karibu kwa kila mtu, lakini hata anayeliuliza huwa hajui majibu. Hivyo, wa kuliwekea alama hutegemea tu kile anachosikia, hata kama sio sahihi anaweza ku...

NGONO KABLA YA NDOA

Image
Siku hizi ngono kabla ya ndoa hutazamwa na vijana wengi kama jambo la kawaida.Vijana wa kike na wa kiume hawahisi hatia yoyote ya kuwa na uhusiano wa kingono katika umri mdogo. Kwa kufanya hivi vijana hupoteza mwelekeo kwa kuishi kiholela bila ya kuwa na mwongozo unaongoza maisha yenye mafanikio sasa na baadaye. Uwezo, fursa na bahati ya vijana kwa ajili ya maisha bora hupotea bure. Vijana hufikiria kuwa ngono ndilo jibu na ufumbuzi wa hali ngumu wanayokabiliana nayo wakati wa balehe na kupevuka. Wengi wao hupungukiwa uwezo wa kutabili nini kitatokea baadaye kama matokeo ya ngono kabla ya ndoa. Wasichana wanaojiingiza katika mahusiano ya kingono kabla ya ndoa na katika umri mdogo huweka rehani uaminifu, afya na uvumilivu wao wa hisia kuhusu mahusiano ya kingono wakati watakapo ingia ndani ya ndoa hapo baadaye.Vijana wengi hawaelewi kuwa ngono haramu huzaa wivu, tuhuma mbaya na majanga ya kijamii. Hufanya mwenzi kumfikiria msichana kuwa ana udhaifu wa kimaadili na hali hii hutia alama k...

Kina Kaka Acheni Ujinga, Hakuna Mwanamke Asiyetaka Kuhongwa! Shauri Lako

Image
Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako basi jua kugharamia. Nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume wa ai lavii yuu maneno. Usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba,ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama wewe ni wale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy pls ukiweka nicheki" umekwishaaaa!!! Anakueleza shida zake unasema "mpenz vumilia nakuombea upate kazi" kaka umeishaaa kabisaaaa aiseeee!!! Huna chako!!! Ujue ulivyokata simu umefatiwa na bonge la msonyoooo ka sio tusi la nguoni basi la mwilini. Yani wewe kama ni wale wa baby mwezi huu mambo yangu hayako sawa, nakuapia unagongewa weeeeeeeeee . . . . mpaka ujute!! Unamuona dem wako kasuka, kapendeza na hana kazi, we umekazana tu "beibi umependeza" . . . . . . Yaani wee boya ujue!! Mume mwenzio kaweka nguvu, so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana, service inak...

Amenisomesha, Kaninunulia Gari Lakini Sina Mapenzi Naye! Nifanyeje?

Image
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana. Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha. Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo pia ni sharo sio mshamba kama huyu wa zamani. Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?

Makosa Wanayofanya WANAUME Walio Kwenye Ndoa

Image
  Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo. Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako. Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa. Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu. Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje. Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize. Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi

Vifahamu Vitu Vidogo Vidogo Ambavyo Huzidisha Utamu wa Mahusiano Katika Mapenzi

Image
MAPENZI ni matamu, mapenzi yana raha yake haswa ukimpata mtu anayekupenda kama ambavyo wewe unampenda. Kinyume chake, mapenzi hugeuka kuwa shubiri. Yanaumiza lakini suala la msingi, hupaswi kukata tamaa pindi unapokutana na penzi kuwa chungu. Chukulia ni changamoto, usikubali kuishi kwenye majonzi kwa muda mrefu. Amini akili yako ina majibu juu ya changamoto inayokukumba na pia unaweza kuiepuka. Unapoamini kwamba changamoto inaweza kupita, utaifanya akili yako iwaze kupata majibu ya haraka iwe ni kusaka suluhuhisho kwa kuzungumza na mwenzi wako na unapoona maji yamezidi unga basi ni bora ukajiweka pembeni hususani mnapokuwa katika hatua za awali. Nimeanza kuyasema hayo maana katika uhusiano wowote, kikubwa kinachotafutwa na wapendanao huwa ni furaha ya moyo. Wapendanao wanapaswa kuishi kwa furaha, amani na upendo. Uhusiano wao uwe sehemu ya kudumisha urafiki, udugu na kwa pamoja muweze kuishi vizuri. Wapendanao wanatengeneza umoja wao ambao ni wa kutiana moyo pale mambo yanapokuwa si m...

“I Don’t Want to Hear Anything About Marriage” Esma Platnumz Declares six Months After Her Marriage Crumbled

Image
Esma Platnumz’s marriage was dogged by infidelity on the part her husband Petit Man. Their separation finally came to light sometimes in September when it was revealed that Petit Man had cheated on his wife with a Rwandan woman. Petit Man eventually walked out of his marriage and went on to wed the Rwandan beauty whom he impregnated. Esma Platnumz took her daughter and moved out of her matrimonial home before her husband married the other woman. In December 2018, Esma set tongues wagging when she took to social media and introduced a young man who she was dating. Well, Diamond’s sister doesn’t want to be married again, at least not in the near future. Speaking during an interview with Ijumaa newspaper, Esma explained that she doesn’t want to rush into marriage because men are just the same.  “Kwa lugha nyepesi, sitaki kusikia wala sihitaji tena ndoa. Hata mtu akija akasema anataka kunioa, nitajua ni walewale tu kwani mapenzi ya dhati siku hizi hakuna,” said Esma Platnumz.

Wanaume Tuache Ubahili Tuwatunze Wapenzi Wetu

Image
Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua. Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakua na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume wanakua na hali mzur kimapato kuliko mwanamke. Nieleweke vizur kua si maanishi kua wanawake wote wanakipato duni LA hasha. Ningependa kuwashauri wale wenye wapenzi wa kike mambo haya yafuatayo:- Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokua na mpenzi ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua we ndio kidume uliemwezesha. Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaam hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake. Usiulize ya nini,ikitokea mpz amekuomba HELA usiulize ya nn ye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia. Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano.cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwacha mpenzi wake 10000 ya nauli, Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya...